Pride Comes Before the Fall: CHADEMA inabidi wajipange upya

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
12,217
Reaction score
10,285
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na hivyo wampigie kura Lissu. Walijua kuwa Lissu ni passionate, ana confidence kubwa juu ya uwezo wake, hawezi kukaa na washauri kwa sababu hapendi kukosolewa na ni mtu mwenye visasi.

Mbowe ni tofauti. Ni pragmatic (anaisoma hali halisi na kucheza nayo vizuri hata kama ni kula matapishi yake), ni ruthless katika kufikia lengo la chama chake, ana ego lakini yuko tayari kuwa nyuma ya pazia, ana base nzuri ya washauri na wafadhili kwa sababu anawasikiliza. Pragmatism ya Mbowe inamuwezesha kufanya kazi na hata wale waliomkosea ili mradi chama chake kielekee kwenye kutimiza lengo lake.

Team Lissu ilipozua mambo ya pesa za Abduli ilikuwa wimbo mzuri kwa CCM. Lissu na Heche waliposhinda ndoto yao ikatimia.

Amandla...
 
Uchaguzi ulipoisha, wenye nia njema walishauri kuwa priority ilipaswa kuwa kuponya majeraha yaliyotokana na uchaguzi. Chama chenye mpasuko ni vigumu sana kushinda. Na majeraha yalikuwa wazi kwa kila mtu.

Walioshinda hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo kwa sababu waliamini kuwa ushindi wao ni ishara kuwa wanachama wana imani nao na sio mwengine. Ikawa ni ama unatuunga mkono au kaa pembeni wakati tunatimiza ahadi yetu kwa wanachama wetu.

Kitu kibaya zaidi wakaruhusu watu kuendelea na siasa za maji taka dhidi ya wale walioamini kuwa ni Team Mbowe. Hii ilikuwa hasa kwenye social media. Wafuasi wao wakaendelea kumzodoa Mbowe na kundi lake.

Kilele cha upotoshaji huo kilitokea Njombe ambako kuna kundi linaloamini kuwa halikutendewa haki na Mbowe na hivyo ni wakati wa kulipa kisasi. Mbaya zaidi huko huko kuna mwanachama stalwart ambae hafichi mapenzi yake kwa Mbowe. Huyu mwanachama amesingiziwa mengi pamoja na kutengwa. Hata pale alipoumizwa akiwa anataka kurudi kwenye kikao alipuuzwa. Jana nimemsikia Heche akidai yale yalikuwa maigizo na kuwa alikuwa na ajenda yake! Kama yalikuwa ni maigizo basi yalikuwa ya ajabu sana maana hakuwahi kusema kuwa CDM ndio kilimjeruhi isipokuwa ni mlinzi ambae alimtaja. Kwa vile Heche na wenzake walikuwa ndani ya kikao wakati tukio lilitokea nje ya kikao, hamna jinsi ambayo wangeona kilichotokea. Wameamini fitna za watu kwa sababu tayari waliisha mhukumu.

Kiburi ( pride) kilizidi kuonekana pale walipokataa kabisa kuwasikiliza G55 na kutaka kuwafanyia mchezo ambao wao wamefanyiwa na Tume ya Uchaguzi. Waliwataka waji commit kwenye kitu ambacho hawana imani nacho bila hata kupewa nafasi ya kutoa duka duka lao!

So what are you saying Fundi….that CCM played CHADEMA like a fiddle and now they’re having the last laugh?

Perhaps CCM knew all along that Lisu, if he became the chairman, would say something that would give them a reason to lock him up and bog him down with a slew of frivolous charges and thus render him ineffective in the upcoming general election.

I guess it’s about chess and not checkers.

And you are right, Freeman Mbowe is much more equanimous than Tundu Lisu.
 
Kilichotokea sana ni tamati ya mpango mzima. CDM for all intents and purposes haitashiriki katika uchaguzi wa mwaka huu.
Juhudi zao za kutaka UN na EU n.k. ziingilie hazitazaa matunda kwa sababu hizo taasisi hazijawahi ku leta mabadiliko yeyote ya kisiasa. Ingekuwa ni hivyo watu kama Kagame, Mu7 na wengine wasingekuwepo madarakani. Mabadiliko yeyote yataletwa na wananchi na sio mtu mwingine. Kutegemea kuwa tutawekewa vikwazo ni ndoto za mchana.

Naamini Lissu hatakaa sana ndani maana lengo la CCM la kutokuwa na strong mpinzani limetimia. Kwa sababu hiyo hawana sababu ya kuendelea kumshikilia.

Kwa sababu hiyo, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa wazi kuliko chaguzi zote kwa sababu hamna chama kingine kitaweza kutoa ushindani kama CDM. CDM wataendelea na mikutano yao ya hadhara ambayo itahudhuriwa na watu wengi sana waliojaa passion. Hilo halitaisumbua CCM maana haita translate kwenye kura.

Uchaguzi utakapofanyika na mshindi wa urais akitangazwa ndio mchezo utakuwa umekwisha maana hakuna kuhoji ushindi wake.

CDM inapaswa kujipanga upya kwa kuwashirikisha kikamilifu wale ambao bado wana imani na Mbowe. Wakiweza kuunganisha nguvu watakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuleta mabadiliko wanayoyataka. Hii ni pamoja na kujenga rasilimali watu na fedha.

Wakiwaendekeza wanaoongozwa na chuki, watadumu muhula mmoja tu katika uongozi wa chama chao.

Amandla...
 
So what are you saying Fundi….that CCM played CHADEMA like a fiddle and now they’re having the last laugh?

Perhaps CCM knew all along that Lisu, if he became the chairman, would say something that would give them a reason to lock him up and bog him down with a slew of frivolous charges and thus render him ineffective in the upcoming general election.

I guess it’s about chess and not checkers.

And you are right, Freeman Mbowe is much more equanimous than Tundu Lisu.
That's what I have been saying all the time. They really got played. They underestimated them.

They will probably soon release Lissu because he cannot impact the elections in any way. By releasing him, they will show the whole world that they are law abiding, fair and democratic.

Amandla...
 
Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.

Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
 
The ball is in their court. CCM and ACT-WAZALENDO are already preparing for the elections. ACT-WAZALENDO is already portraying itself as worthy flag bearers of the cause that CDM was fighting for. This will allow some CDM to run on their ticket. If they pull it off, they will became quite formidable because they will have a strong base on the Mainland to complement their cor base in Zanzibar.

Amandla...
 
Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.

Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
Nimemsikia Mwanasheria mmoja akilalamikia jopo la mawakili wa Lissu. Anasema wale ni watu wa Mbowe na wataihujumu kesi! Wanataka wapewe Team Lissu. Yaani hawamtaki Kibatala mwenye track record ya kesi kama hizi kwa sababu tu alimtetea Mbowe! Uzuri ni kuwa inaelekea wakina Lissu wanawapotezea maana wanalalamika kuwa hawapokei simu zao.

Amandla...
 
Ishu hapa ilitakiwa mbowe akae pembeni apishe kiongozi mpya. Mbowe alikuwa laini kwa ccm kuliko lissu mwenye msimamo mkali kwa ccm. Kama target ya ccm ilikuwa kwa lissu aingie madarakani ili wamdhibiti kirahisi hatimaye chadema ife kwa mbinu hiyo hizi ni abrakadabra za kisiasa tu. Overall ccm haitakiwi kabisa na wananchi kuendelea kutawala, wananchi ndio wanamuona lissu ndiye kiongozi jasiri wa kuwaongoza kuitoa ccm madarakani kwa njia za kidemokrasia kwenye uchaguzi huru na wa haki. Mbinu za kuifitinisha chadema ipoteane na kugawanyika ni kosa lao wenyewe kuto ku sense kuwa kuna njama na hila na ndani yao kuna mapandikizi yapo kazini kuleta mkwamo na vizingiti katika kufikia lengo la chadema kushnda uchaguzi mkuu na kuongoza dola. All in all hila na njama hazijawahi kushinda haki, ni suala la mudu tu haki itapatikana. Lissu au mbowe kuwa kibaraka ni abrakadabra za siasa tu
 
Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.

Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
Wanazi wa CHADEMA waliopo hapa JF huwezi uka reason nao.

Wako blinded na ushabiki kupita maelezo.

Mfano yule Salary Slip utaweza ku reason naye jambo gani, kwa mfano?
 
Kila chama kikuu cha upinzani kilichopata kuwepo Tanzania kilifanya kosa moja kubwa—kuvipuuza vyama vingine vya upinzani kikidhani kwamba kinaweza kuendesha mapambano yake bila msaada wa vyama vingine vya upinzani. Hii “No Reforms, No Elections” campaign ingefanikiwa very easily kama ingebebwa na vyama vyote vya upinzani. Sidhani kama uchaguzi ungefanyika bila ushiriki wa chama chochote cha upinzani.
 
Uchaguzi ulipoisha, wenye nia njema walishauri kuwa priority ilipaswa kuwa kuponya majeraha yaliyotokana na uchaguzi. Chama chenye mpasuko ni vigumu sana kushinda. Na majeraha yalikuwa wazi kwa kila mtu.

Walioshinda hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo kwa sababu waliamini kuwa ushindi wao ni ishara kuwa wanachama wana imani nao na sio mwengine. Ikawa ni ama unatuunga mkono au kaa pembeni wakati tunatimiza ahadi yetu kwa wanachama wetu.

Kitu kibaya zaidi wakaruhusu watu kuendelea na siasa za maji taka dhidi ya wale walioamini kuwa ni Team Mbowe. Hii ilikuwa hasa kwenye social media. Wafuasi wao wakaendelea kumzodoa Mbowe na kundi lake.

Kilele cha upotoshaji huo kilitokea Njombe ambako kuna kundi linaloamini kuwa halikutendewa haki na Mbowe na hivyo ni wakati wa kulipa kisasi. Mbaya zaidi huko huko kuna mwanachama stalwart ambae hafichi mapenzi yake kwa Mbowe. Huyu mwanachama amesingiziwa mengi pamoja na kutengwa. Hata pale alipoumizwa akiwa anataka kurudi kwenye kikao alipuuzwa. Jana nimemsikia Heche akidai yale yalikuwa maigizo na kuwa alikuwa na ajenda yake! Kama yalikuwa ni maigizo basi yalikuwa ya ajabu sana maana hakuwahi kusema kuwa CDM ndio kilimjeruhi isipokuwa ni mlinzi ambae alimtaja. Kwa vile Heche na wenzake walikuwa ndani ya kikao wakati tukio lilitokea nje ya kikao, hamna jinsi ambayo wangeona kilichotokea. Wameamini fitna za watu kwa sababu tayari waliisha mhukumu.

Kiburi ( pride) kilizidi kuonekana pale walipokataa kabisa kuwasikiliza G55 na kutaka kuwafanyia mchezo ambao wao wamefanyiwa na Tume ya Uchaguzi. Waliwataka waji commit kwenye kitu ambacho hawana imani nacho bila hata kupewa nafasi ya kutoa duka duka lao!

Amandla...
Ndioo
 
Ndo maana uchaguzi uliowapa Kura wapinzani nyingi ulikuwa chini ya Ukawa...na Ukawa the brain behind alikuwa Lowassa...kabla ya ukawa hawa kina Lissu walikuwa wanaitukana Sana cuf......na bado hawaoni hasara ya kujifanya wao peke Yao ndo wapinzani.....
Lowassa aliwapa somo kubwa sana alisema "waache kuwa wanaharakati,wawe chama cha siasa" still ukiacha team Mbowe the rest bado wanaharakati kabisa na sio wanasiasa
 
Kwenye siasa lazima ujue namna ya Ku compromise Kwa faida za "kisiasa"...na lazima ujue namna ya kuzuia uasi wa ndani Kwa Ku accommodate usio wapenda..au unao hisi wanakupinga......siasa haina wale na sisi... yeyote anaetaka kuweko na muache aje mradi lengo ni moja...
G55 wakipata "new platform" itakuwa damage kubwa sana kwa Chadema
 
Ni mapambano ya hardliners. Unfortunately, hardliners walioshinda uchaguzi ndio wanaobeba risk ya failed leadership. Wale hardliners wa upande mwingine (walioshindwa uchaguzi) hawajali sana hata chama kikidhoofika! Yes, Team Lissu walipaswa kuchukua hatua za makusudi kuufanya ushindi wao kuwa ushindi wa chama (sio Team Lissu) ili kuyaunganisha makundi yote.
 
Wanazi wa CHADEMA waliopo hapa JF huwezi uka reason nao.

Wako blinded na ushabiki kupita maelezo.

Mfano yule Salary Slip utaweza ku reason naye jambo gani, kwa mfano?
We jamaa mbona hueleweki? Ulikuwa unamuunga mkono lissu kwenye suala zima la no reform no election. Naona dizain km umeanza kumkataa!
 
Wanazi wa CHADEMA waliopo hapa JF huwezi uka reason nao.

Wako blinded na ushabiki kupita maelezo.

Mfano yule Salary Slip utaweza ku reason naye jambo gani, kwa mfano?
We jamaa mbona hueleweki? Ulikuwa unamuunga mkono lissu kwenye suala zima la no reform no election. Naona dizain km umeanza kumkataa
Ndo maana uchaguzi uliowapa Kura wapinzani nyingi ulikuwa chini ya Ukawa...na Ukawa the brain behind alikuwa Lowassa...kabla ya ukawa hawa kina Lissu walikuwa wanaitukana Sana cuf......na bado hawaoni hasara ya kujifanya wao peke Yao ndo wapinzani.....
Lowassa aliwapa somo kubwa sana alisema "waache kuwa wanaharakati,wawe chama cha siasa" still ukiacha team Mbowe the rest bado wanaharakati kabisa na sio wanasiasa
Harakati na siasa ni vitu vinavyoenda pamoja hasa kwa nchi zetu za kiafrika ambapo demokrasia haiheshimiwi
 
Back
Top Bottom