PRETA Will you be My Valantine Please?

PRETA Will you be My Valantine Please?

nenda mianzini pale kuna bar inaitwa ma.ta.ko bar utamkuta preta, au kenny garden au pama B, humkosi binti huyu.
 
ai wewe...tafuta wa kwako bana......

Aache wivu bana mtu kajilipua yeye anaon gere, ungesema amekubore nadhani angeshangilia sana kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh.
 
nenda mianzini pale kuna bar inaitwa ma.ta.ko bar utamkuta preta, au kenny garden au pama B, humkosi binti huyu.

JF bana haishi vituko lkn ndiyo pilipili yake hiyo, Pretaaaa aiseee usimiss appoint hiyo kitu asije Ndallo akajinyonga kwa uzi wa bigjii.
 
Dah! Nshawahiwa mie! Wapi Nwaigwe jamani? Mwenye naye aniazime tu, valentine ikipita namrudisha
 
Aah Husninyo...

It is not fair... Kuna wakati nikimpata wangu,nisishangae.... Viwe vitu vya kawaida...

owky, kuna kucha za aina nyingi. Ila wengi wanapenda za unga na za maji, zipo zingine maalum kwa mtoko wa usiku tu. Kwa maelezo zaidi tembelea wapaka rangi. Lol
 
Back
Top Bottom