PRETA Will you be My Valantine Please?

Nitonye,

Wewe utakuwa una gundu kama mimi tu! :lol::lol::lol:

Mwenzako nilienda kuogelea Koko bichi nitoe gundu sasa nasikilizia kama nimepata kismati
 
sidhani kama kuna mtu ana gundu kuliko mimi humu JF...
I bet!
 
budget yako sh ngap baby?

kuhusu budget usiwe na wasi baby! Ooh! Nimekumbuka kitu baby, leo mida ya 9:45 alasiri nitakuwa pale southern sun naangalia English premier league kati za Manchester United na Liverpool, tunaweza tukawa wote baby? Nadhani na wewe utakuwa upande wa united?
 
tutaiva kwel? Niko arsenal
 
Back
Top Bottom