PRETA Will you be My Valantine Please?

ndallo, nakukabidhi jirani yangu Preta utoke naye siku ya valentine kwa ridhaa yake mwenyewe.

Tabasamu basi nione ka mwanya kako ka uchochoro.
 
tutaiva kwel? Niko arsenal

duh! Lakini usijali baby, inabidi muda mwingine upunguze stress baada ya mechi nafikiri itafuata mechi kati ya Sunderland na Arsenal saa 12:00 jioni nadhani tutaingalia pia, nitakutunuku na jezi ya united.
 
nimekubal baby ila nina alergy na united ctak kuona alama yao yyte.
 
washamba kabila lako!
Kwani nani kasema kuwa ni sifa, it is just a fact.
Mwanaasha mkubwa we...

ukweli unauma eeeh? Ww c ndio ulsema una gundu? Unaeleza fact? No wanda una gundu kweli sbb umekumbatia gundu! Mizengo kuburi wweeee!
 
ukweli unauma eeeh? Ww c ndio ulsema una gundu? Unaeleza fact? No wanda una gundu kweli sbb umekumbatia gundu! Mizengo kuburi wweeee!

wala hakuna kilichoniuma nyama wewe!
Kule kwenye valentine bid nakaribia kuopoa mzigo wako, ndo utajua kama nimekumbatia gundu au la. Tena nitakuuliza hilo swali wakati kisu kikiwa kwenye ala yake, kama hujabaki kuchekacheka.
Blandina Nyoni @MHSW mkubwa weeee...
 
bi kiroboto ww nana kakwamnbia mm kimeniuma. Tena dau langu usha likubal nina ham na ww **** ww nautapokua unakula kitumbua changu utasahau had jna lako ww nitahakksha tunachkua vdeo tukiangalia tuone nan zaid. Bladfackenjairolutepambafu! @**#@!!
 
unasemaje wewe kivuli cha Haji Mponda?
Mtaani kwetu wananiita 'bolotango', sifa zangu zimesambaa kutoka Afisi za TANESCO Kinondoni North mpaka King'oko kwa kina Langa Kileo, lazima uombe re-match mwenyewe.
Lusindewassirostamkullo mkubwa wewe!
 
naona unahaha ki lowasamrisho! Mtaan kwenu watakua woote wamezalwa kwenye mbegu ya mchina inatoa vifaa mithili ya akili za nyumba ndog za vit maalum kazi kufkiria kwa mazaburi. Njo kwang ndio uoene kweny video yetu mtoto wa kiumw unalia ka mbwa! Kwetu wnaniita smaku ya uterez uknaswa hung'oki! Vijisenti@*#kiparalanga@**konga weeee!
 
Najua Preta tuko mji mmoja hapa Arusha! Kindly am asking you if will you be my Valantine wangu siku ya tarehe 14/02/2012 tafadhali? Nitakuandalia bonge la suprise! Nijibu tafadhali nijibu nikuambie ni zawadi gani.

mkuu hujipendi ee?
 
Preta ukija tafadhali naomba niachie ujumbe kuhusiana na ombi langu, japokua umeingia mitini lakini ujumbe huu utaupata tu, unajua ukitaka kumla kuku wa kienyeji sharti umkimbize ili umshike ndipo umle, kwahiyo hii adhabu ya kukufukuzia wala sintachoka! Plz be my Valantine!
 
Najua Preta tuko mji mmoja hapa Arusha! Kindly am asking you if will you be my Valantine wangu siku ya tarehe 14/02/2012 tafadhali? Nitakuandalia bonge la suprise! Nijibu tafadhali nijibu nikuambie ni zawadi gani.

hi hi hi.....orayt orayt....ni kweli tuko mji mmoja na hii itaturahisishia sana kufanya Valentine......
sasa ili niweze kuwa Valentina wako....kabla sijakubali....sema kwanza hiyo sapraiz....maana zingine hazikawii kutoa mtu roho......nisije nikakosa siku muhimu bure.....
 
Back
Top Bottom