PRETA Will you be My Valantine Please?

PRETA Will you be My Valantine Please?

owky, kuna kucha za aina nyingi. Ila wengi wanapenda za unga na za maji, zipo zingine maalum kwa mtoko wa usiku tu. Kwa maelezo zaidi tembelea wapaka rangi. Lol

Hivi nani anadesign shape yake? Kwamba ziwe square..,au oval..,au .... Zinakuja readymade,au they can still be shaped according to matakwa ya bidada husika?
 
Hivi nani anadesign shape yake? Kwamba ziwe square..,au oval..,au .... Zinakuja readymade,au they can still be shaped according to matakwa ya bidada husika?

mambo yake ni mengi....we huwezi jua bana.....tuachie wenye shughuli nazo...
 
Back
Top Bottom