kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 147
- 168
Wakuu, Habari mbaya na za kusikitisha nilizo zipata kutoka jijini Arusha ni kuwa ile “Press conference” na waandishi wa Habari iliyofanywa na Godbless Lema pale kwenye hotel ya Kibo palace iligharamiwa na Abdul ambaye ni Mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mdau huyo kutoka kitengo cha juu Serekalini amedai kuwa waandishi wa Habari huwa hawaji bure bure kwenye press conference na kwamba ile siku LEMA aliwapiga bahasha nzito nzito lakini pesa zote hizo ni Pesa za Abdul Mtoto wa Rais Samia.
Mdau huyo ambaye ni mpenda haki amedai kuwa Lema hakuwa na Jeuri ya kutoa bahasha nzito nzito na alishinikizwa na Abdul afanye ile Press Conference na alipewa script ikiwemo kuwatukana wana harakati wote na kutaja location zao.
Mdau huyo ameendelea kusema kuwa Abdul ambaye elimu yake ni darasa la nne ndiye anayempelekesha LEMA kama gari bovu, na amekuwa akiwaambiwa rafiki zake kuwa Lema mbele ya pesa ni mshamba na poyoyo na hana jeuri yoyote ile. Mdau aliongeza kuwa tangu siku ya kwanza Lema alipopewa maburunguti ya Pesa za Damu ili alipe madeni yake amekuwa akimuona Abdul kama Mungu mtu kwa jinsi anavyo mtetemekea.
Mara tu baada ya kumaliza ile Press Conference Abdul aliwatext wabunge wa CCM ambao Mara moja walianza kumpongeza LEMA. Mdau huyo alidokeza Ukiona hadi machawa wa Abdul akina Nape wanakupongeza Ujue umeongea pumba sana.
My take: Yanayo fanyika gizani yameanza kuja Nuruni, Tutaona mengi sana siku zijazo.