Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

JK NYERERE.... Africa is of Interest when we are killing one another, if we want to appear in European News we can cause more trouble somewhere
 
na nyota ya act ina represent nchi moja ya tanzania

Kumbuka USA ni nchi alaf act ni chama ndo maana nilikwambia acha kufikiria kama ndege.Alf ile ni bendera ya nchi hii yenye nyota moja ni bendera ya chama narudia tena acha kufikiria kama ndege
 
Tumeanzisha shirika la kidini toka kigoma linaitwa alliance for cowards and traitors. Nawasilisha
 
Karibu ACT, karibu kwenye mbio ndefu zenye kukatisha tamaa kutokana na ubabe wa CCM, kama umekuja kwa nia njema tunakuombea kheri kwani lengo ni moja tu,kumkomboa Mtanzania na kumfaidisha na rasilimali zilozopo tofauti na sasa zinapofaidiwa na wachache, lakini kama umekuja kukomoa chama fulani au watu fulani, nakushauri kajitafakari upya.
WATANZANIA WAMECHOKA WANATAKA MABADILIKO YA KWELI.
Mkuu nakupa like ya nguvu. Hii ni moja ya maoni bora kabisa kwangu katika siku ya leo hapa JF. UBARIKIWE sana Mkuu.
 
Kumbuka USA ni nchi alaf act ni chama ndo maana nilikwambia acha kufikiria kama ndege.Alf ile ni bendera ya nchi hii yenye nyota moja ni bendera ya chama narudia tena acha kufikiria kama ndege

nyota ni nyota tu iwe ya chama au nchi. tatizo huna hoja .nakuuliza tena bendera ya marekani inawakilisha waislamu?
 
Nilisikia baadhi ya watu wakisema tunahitaji mbadala wa Chadema an Magamba... je huu ndio mbadala au tuendelee kusubiri?
Swali la msingi sana hili mkuu,na ningependa sana viongozi (nasisitiza hapa VIONGOZI na si waganga njaa wa mitandaoni) wa vyama tajwa (CDM na CCM) wangetueleza kuwa kwa nini wao wameshindwa kuwa tegemeo la mabadiliko ya maisha ya watanzania na kama wanaaamini kuwa wao wameshindwa na hivyo tunahitaji mbadala. Pia napenda viongozi wa ACT watuelimishe na kutuaminisha sisi watanzania kuwa wao ni kweli mbadala wa vyama tajwa hapo juu,na ni kwa nini tuwaamini wao.
 
Tumeanzisha shirika la kidini toka kigoma linaitwa alliance for cowards and traitors. Nawasilisha

Mkuu, acha hizo...kwa maana hiyo Pro CCM na wafia dini wake wanaposema Chadema ni chama cha kidini na wao ni wakweli? Au na wewe umeshaingizwa mkenge wa propaganda hizi? Sasa mtu kama wewe unatofautigani na watu kama Boko Haram,Ritz na THE BIG SHOW?
Pamoja na kuwa mimi ni mshabiki na mpenzi wa Chadema lakini napinga na kutamka kuwa ACT Tanzania siyo chama cha kidini.
 
mkuu if they(bi show,msalani,ifweer,abakorakamo) live please life they need also to live how to please others
 
Hivi huyu limbu si ndo aliondoka cuf na kuunda adc? Sasa nini kimemtoa huko? Mwenye jibu jamani
 
Kufilisika kisiasa ni pamoja na kulazimisha watu waamini au wapende kile unachokiamini/unachokipenda.

Tuheshimu maamuzi ya wengine hata kama ni machungu. Ustaarabu ktk siasa ni pamoja na kuwatakia heri ACT na kuwakaribisha kwenye mapambano dhidi ya umaskini wetu.
 
nilitoka kidogo JF, ile narudi tu kitu cha kwanza nakutana nacho.....hamadi.....ni fitina za DiniKoloniKristo NA DiniKoloniIslam. kama nilivokwishasema huko nyuma diniKoloni hazina lolote la maana la kumsaidia mwana wa Afrika zaidi ya chukizo, fitinisho, hasidisho, uuajisho, unafkisho nk nk. Ni jambo la kuchukiza na kuhusunisha sana kuona kwamba, kila mara waafrika watanzania wanapokuwa wanajadili jambo la msingi na maana kubwa kwa mustakabali wa TAIFA LA WATANZANIA na waafika kwa ujumla, inspirational point inayotumika ni DiniKoloni...kumbuka hizi ni dini zile zile zilizowabaka bibi zetu, zilizowaasi babu zetu, zilizowashika watumwa waafrika wenzetu, dini baguzi zilizoongoza, na bado zinaongoza, imani chukizo kuwa waafrika ni manyani yasiyostahili hata kuoana na mzungu wala mwarabu. Hadi leo wamiliki wa Dini Koloni wanawatupia waafrika maganda ya ndizi kaa nyani ili tuyarukie mithili ya tumbili. Lakini hatuoni haya yote, DiniKoloni zimetumika kuhalalisha mauaji ya waafrika huko Nigeria, huko Misri, huko Somalia, milipuko Huko Kenya, huku Dar, kumwagiwa tindikali huko zanzibar, Arusha nk nk. Leo hapa DiniKoloni zinatumiwa na kina Big Show na SimiyuYetu kama kete ya kutimiza malengo ovu ya kuwagawa maskini wa Tanzania kwa nia ya kuendelea kuwatawala kikoloni na kuwaibia hadi chupi zao za ndani. DiniKoloni ni Laana Kubwa kwa Mwana wa Afrika.

I dont know what kind of DINI KOLONI are you talking about,

But to us,islam is not dini koloni,kama kuna sehemu yeyote una ushahid kwamba uislam ulishawahi kuwafanya watu wawe watumwa kwa kutumiam vifungu vya maandiko matakatifu you bring it to me,

May be unaconfuse between waislam na waarabu,kwetu sisi qur an iliposhuka imeshuka na kukataza moja kwa moja utumwa tena kwa vifungu vya maandiko.

Je unajua kwamba meli ya kwanza kuchukua watumwa na wazee wetu kule ghana kupeleka ughaibuni iliitwa kwa jina "JESUS'?? na ipo hadi leo kule kama kumbu kumbu??

Sasa hilo usiniulize mimi,kama dini yako ni dini koloni its your bzness
 
wewe unaonaje kama ikiwa hivyo??

sisi waislam tumewaambia hatutaki kabisa kutuchafulia dini yetu kwa kuihusisha na siasa zao,lakini si umeona wana chadema wanavyojaribu kuuhusiha uislam,na waislam na hicho chama cha act??

jiulize kwani hiko chama kimesema wao ni watu gani au wao ni wana ajenda za uislam??sasa kwanin chadema na vijana wao wanakuja kuuhusisha uislam wetu moja kwa moja na chama hiko??kama sio choko choko ni nin??

Thats why tunasema chadema wapambane na mahasimu wao,wasipambane na uislam wala waislam wanazid kujiua sana

Unauliza maswali mazuri sn!

Labda nikuulize kwani ulishawahi kusikia Cdm wakidai Kua na agenda ya ukristo? Au agenda ya ukabila?

Maana kuna baadhi ya watu humu hutangaza kwamba cdm Ni chama cha kikabila na cha kikristo! Wao wamepata wapi Hiyo agenda?

Na kwanini Pro-ccm hapa jf wanakitetea hicho chama kwa nguvu? Mimi Km raia Wa kawaida nieleweje?
 
zito zito usijiunge na act utakufa kisiasa huu si wakati wa kuanzisha chama kipya akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Unauliza maswali mazuri sn!

Labda nikuulize kwani ulishawahi kusikia Cdm wakidai Kua na agenda ya ukristo? Au agenda ya ukabila?

Maana kuna baadhi ya watu humu hutangaza kwamba cdm Ni chama cha kikabila na cha kikristo! Wao wamepata wapi Hiyo agenda?

Na kwanini Pro-ccm hapa jf wanakitetea hicho chama kwa nguvu? Mimi Km raia Wa kawaida nieleweje?

Akili mbovu hiyo,

Wewe unasubiri watangaze tena?

Huo utitiri wa wachaga na mapadre humo ndani hauoni??

mwenye macho haambiwi tazama,thats why nakuambiaga uache kujitoa ufaham na kujiweka unafiki unafiki

wewe ni chadema unajifanya mtanzania wa kawaida,au unaogopa nawewe kuitwa mchaga?ooh yes hicho ni chama cha wachaga,kubali ama kataa,ila ukweli uko hivyo
 
Mkuu taratibu!

Jana nilikuomba sn unifahamishe Ni jinsi gani najitoa ufahamu ukashindwa kabisa kutoa majibu tena ukapotea kabisa! Na Wewe Huyo ndio ulie Ni taja kwenye post yako!

Mimi niliendelea kutoa maoni kwa kuangalia ng'ambo Zaidi hasa tunapokwenda kwenye uchaguzi Wa 2015 kutokana na hivi vyama!

Umekuja na maoni yako Leo kutoka post yng ya jana, na Mimi nimekujibu kwa kuuliza maswali! Nashangaa unatokwa na maneno kweli!

Hii ndio siasa Mkuu, ukitoa point zako, hizo hizo zinajengewa hoja na unapewa majibu!

Tujadiliane kwa hoja Mkuu mambo ya kuanza kunishambulia Mimi utakua umepwaya sn!

Alafu Mimi Ni Msukuma Mkuu Kwetu Bariadi! Nina haki ya Kujiunga na chama chochote! Iwe Cdm, Ccm au Act!
 
Unauliza maswali mazuri sn!

Labda nikuulize kwani ulishawahi kusikia Cdm wakidai Kua na agenda ya ukristo? Au agenda ya ukabila?

Maana kuna baadhi ya watu humu hutangaza kwamba cdm Ni chama cha kikabila na cha kikristo! Wao wamepata wapi Hiyo agenda?

Na kwanini Pro-ccm hapa jf wanakitetea hicho chama kwa nguvu? Mimi Km raia Wa kawaida nieleweje?
Naona umeamua kuingia rasmi kukitetea chama chako, kwa kukusaidia takukumbusha mbunge wa Chadema Joshua Nassari, alishasema kuwa Chadema wakichukuwa nchi kitu cha kwanza ni kuanzisha taifa la kaskazini upo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu we kachumie tumbo lako, kama kweli mnatak mabadiliko msingejitenga chadema the voice and the eye of every citizen vision!
 
Back
Top Bottom