Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

walisema nchi kwanza ,then wameanzisha chama,niwakumbushe tu kwa watu msiomjua Zitto Kabwe vizuri,huyo jamaa kwa kujenga hoja zenye mashiko kwa taifa yupo vizuri na elimu yupo vizuri bt kibaya zaidi hata kwenye unafiki yupo fizuri zaidi,mjifunze kwa yaliyowakuta wazee kwa vijana waliokuwa wanamwamini Zitto Kabwe,vijana kma Juliana ShonzaMtela MwampambaChagulani AdamsGrayson Veronica NyakarunguMwl Deo KisanduHabib Mchange,wakalishana yamini na kuchanjwa chale kwa kina Kalumanzira ili wasisalitiane, na wengine hawa kwa miaka mingi wameaminishwa na wakaamini kwamba Zitto ndo kiongozi bora na mzalendo bt waulize yalipowakuta ya kuwakuta Kina mtela na Shonza na story zao za Zitto kutaka kunyweshwa sumu aliwakana akadai hawajui wala hajawahi kukutana nao mahala popote pale,kwenye kufukuzwa CDM ndo alikuwa anaongoza wafukuzwe,so nikagundua lengo la Zitto ni kuvuruga CDM na si kuijenga,akishaona kijana flani walau anauwezo mkubwa wa kujenga hoja atamwandama na kutafta urafiki nae then anammezesha sumu kwamba chama ni cha ukanda ,udini na nk,then kijana bila kutafakari anakuwa loud speaker ya Zitto then wakimtimua ndo amekwisha hivyo kisiasa na kukiyumbisha chama

great words mkuu....hata wazungu wamasema “If you don’t build your
dream, someone else will hire
you to help them build theirs.”..
 
Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.

Taasis yoyote haiwezi kujengwa na watu masikini ea kipato.kitakufa kabla watanzania hawaja feel uwepo wake, let us wait and see.wewe jiulize kwanini Kalenga kuna vyama viwili tu vikigombea ubunge wa jimbo hilo wakati kuna vyama zaidi ya 17 vyenye usajili wa kudumu.
 
ha ha ha mtajuta mwaka huu ACT lazima imng'oe lema arusha mjini

Kumtoa Lema Arusha mtangoja sana,kma Mmemdanganya Mwigamba aisaliti CDM ili ajiunge na ACT then agombee Arusha ili kumtoa lema imekula kwenu lema atakuwa mbunge mpaka ukomo wa katiba ya nchi na chama ,take it 4m me
 
Kumtoa Lema Arusha mtangoja sana,kma Mmemdanganya Mwigamba aisaliti CDM ili ajiunge na ACT then agombee Arusha ili kumtoa lema imekula kwenu lema atakuwa mbunge mpaka ukomo wa katiba ya nchi na chama ,take it 4m me

ha ha kwa taarifa yako ACT inaungwa mkono sana na wanaarusha, vurugu za chadema zimesababisha uchumi wa arusha kudidimia sana, wafanyabiashara wote wanaichukia sana chadema ACT ndio chaguo lao
 
ACT ndio mkombozi wa uchumi wa arusha
 
ha ha kwa taarifa yako ACT inaungwa mkono sana na wanaarusha, vurugu za chadema zimesababisha uchumi wa arusha kudidimia sana, wafanyabiashara wote wanaichukia sana chadema ACT ndio chaguo lao
Hahahaaaaaaaaaaaa jamaa unatamani kwenda ulaya kwa bajaj teh teh teh embu tupia hata kamkutano kamoko hapo A-town under Alliance for Coward and Traitors hahahaaa
 
Hahahaaaaaaaaaaaa jamaa unatamani kwenda ulaya kwa bajaj teh teh teh embu tupia hata kamkutano kamoko hapo A-town under Alliance for Coward and Traitors hahahaaa

mikutano tutafanya sana hapi arusha hamna wa kututisha , mwambie jambazi lenu la magari na genge lake la wahuni tunakuja kuling'oa arusha. act ni mkombozi wa wana arusha
 
Karibu Tz chama cha mabadiliko na uwazi wa wasaliti, mmeingia na mguu mbaya bada ya jaribio lenu kuibomoa CHADEMA kufa kibudu, wa TZ tunautambua usaliti na ULAFI wenu, Mmekuja kuvuruga upinzan na mabadiliko ya kwel na hamtaweza!!

Na kwakuwa dhambi ya usaliti hawakuitubu, je, ni wazi kuwa watajisaliti wenyewe kwa wenyewe?? na kama ikiwa hivyo wataanzisha chama kingine tena mbadala??
 
bendera ina nyota kama ya msikiti

Kwa waislamu nyota haina maana bila kua na mwezi. Hivyo usifananishe hiyo nyota ya hicho chama na msikiti.

Angalia Bendera za Mataifa zenye Nyota halafu weka huo udini hapa.

Ghana
Morocco
Cameroon
Burma
Paraguay
Senegal
Somaliland
Vietnam
Socialist Federal Republic of
Yugoslavia (1943–1992)
Cuba
Timor-Leste (East Timor)
Puerto Rico (US overseas
commonwealth)
North Korea
South Sudan
Chile
Liberia
Panama
Federated
States of
Micronesia
Federated States of Micronesia
New Zealand
Tokelau (Overseas territory of New
Zealand)
Honduras
Niue (Overseas territory of New
Zealand)
Singapore
People's Republic of China
Samoa
Bosnia and
Herzegovinia
Bosnia and Herzegovina
Kosovo
Cook Islands (Associated state of
New Zealand)
Tajikistan
United States
Israel
Burundi
Jordan
Australia
Jordan
Many-pointed
Azerbaijan
Iraqi Kurdistan
Marshall
Islands
Nauru
Malaysia
Marshall Islands
Nepal
Australia
Southern Cross
Zealand
Australia
Brazil
New Zealand
Papua New Guinea
Samoa
Tokelau
Crescent
Nepal
Brunei
Mauritania
Nepal
Turkey
Algeria
Azerbaijan
Comoros
Libya
Malaysia
Northern Cyprus
Sahrawi Republic
Singapore
Tunisia
Turkey
Uzbekistan
 
watalii hawaendi arusha kwa ajili ya vurugu za chadema, makampuni ya watalii na maphoteli yamepata hasara sana
 
mikutano tutafanya sana hapi arusha hamna wa kututisha , mwambie jambazi lenu la magari na genge lake la wahuni tunakuja kuling'oa arusha. act ni mkombozi wa wana arusha
Kumbe unapiga porojo tu hapa teh teh teh alafu unasema wanakijua labda mje kutalii
 
huo huo unaoujua , chadema wamesababisha vijana wa arusha wawe majambazi
Teh teh teh vp draft na bao limejenga viwanda na kunyanyua uchumi wa Pwani,agrrrrrrrrrrrrr nimesahau na chumaulete...
 
Hiki chama hakifiki hata Mwaka mmoja kitakuwa chali na baada ya 2015 lazima wagawane Mbao kwa Ugomvi wa Ruzuku.

Hapo red, ruzuku wataitoa wapi mkuu?
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^

Wamiliki halisi tutawajua in few months to come. Unakumbuka jinsi Richard Kiyabo alivyoanzisha CCJ? Baadae mambo yalivyokuwa magumu ilibidi awataj wamiliki wake.
 
Mbowe ajiandae kurudi kwenye bashara zake za kilaghai chadema lazima ipotezwe kwenye siasa za tanzania tuliwambia wamuombe msamaha zitto wakajifanya wajanja sasa fimbo wanazo.

Alaa, kumbe! Zitto ana uhusiano gani na ACT? ACT wanatambulisha chama chao, Mbowe anaingiaje hapo? Kama ACT ni chama cha upinzani wa kweli basi kitapambana na CCM pia, hilo unalionaje kwa sababu kwa jinsi unavyo kishabikia ina onyesha chama hiki ni makini na bora sana kuliko CCM, kwa hiyo kuanzia sasa umekuwa mpambe rasmi wa ACT?
 
ha ha kwa taarifa yako ACT inaungwa mkono sana na wanaarusha, vurugu za chadema zimesababisha uchumi wa arusha kudidimia sana, wafanyabiashara wote wanaichukia sana chadema ACT ndio chaguo lao

Picha tafadhali,tuone wakati wanaunga mkono
 
Back
Top Bottom