THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Kwa dua zetu waislam inshallah hakitanyimwa
Ccm wazandiki wakubwa hawawezi kudhoofisha hili
hamtapata la maana kutangaza vita na uislam
tangazeni vita na ccm,na sio uislam wala waislam
kama mnatumia loopholes za ukristo na uchaga uliopo chadema kupeleka propaganda hizo kwa hao wenzenu,ni kwamba mnazid kuonesha rangi yenu wazi wazi
yani nyinyi mnachukua padre mzinz kisha mnasema yuko safi tumpe ikulu?
ikulu ni mahala patakatifu,wenye laana hawatakiwi pale