anafurahiswa sana na hao jamaa na matendo yake lazma yawe yanaendana nao. mtu kama huyu mawazo yake ni ya kuogopwa
Kujilipua nako nikujitambua,wewe unatofauti gani na muslim brotherhood na lile la Kipalestina ambayo nchi ya Kiislam Misri imetangaza ni makundi ya kigaidi,Mtoi atabakia Mtoi hawezi kuwa zombi kama wewe,mpaka leo unalia muislam alafu unasema unajitambua,binadamu anaejitambua yeye ni zaidi ya dini iyo mos,pili Ntwala ni sehemu ya Tanzania huwezi nizuia kusema ,wapiga njaa kama nyie hamstaili katika dunia ya sasa ya science and technology,nchi zinacompete katika resources we unapiga njaa,uislam na ukristo uko ndani ya nyumba za ibada ukitoka nje kazi kwa kwenda mbele...
sasa kama unasema uislam na ukristo ubakie kwenye nyumba za ibada huko chadema mbona waislam mnawabagua??
na kwanini utitiri wa mapadre umejaa huko kwan mnataka kujenga tena mfumo kristo??
nchi hii si ya kidni,hao mapadre warudi kwenye kazi zao,siasa hawaziwez
acha umburura we taahira. nyota ni nyota tu iwe moja au nyingi , jibu swali nyota za bendera ya marekani zinamaanisha marekani ni taifa la kiislamu. tatizo akili zako zina matege
THE BIG SHOW umeshindwa kutoa majibu?
Chadema ndio itakufa Wanakufa watu sio chama kama kufa ingekufa NCCR,sisi ambao hatufati mtu bado tupo na CDM.
Acha kufikiria kama ndege kwenye bendera ya marekani nyota Moja INA represent state moja sasa ile Moja ya act inarepresent nini?
mkuu tumuombe mungu atupe uhai mrefu na afya njema.Sasa mnaonyesha sura zenu waziii, mwanzo mlipinga sana kuwepo pingamizi la Uislaam ndani ya Chadema. leo kuzaliwa kwa ACT tu na kuhusishwa kwa Zitto, swala la Uislaam linajitokeza. Ama kweli chama kimeingiliwa,kisha hao hao mnajifanya hakuna Udini - khaaa!
No Research no right to speak,wewe si ndo unamtuhumu Mtoi kuwa Chadema sasa nani Mbaguzi,yupo vp pale kama kuna ubaguzi,ni wapi umesikia kwa ushahidi kiongozi akitoa maneno yakibaguzi au maandishi zaidi unafki wenu,hao waliofukuzwa au kujiondoa chadema wanaushaidi wa kubaguliwa kidini au mihemko yao,usaliti wao ndio unaowatuma kusema hivyo,embu tuwekee ushahidi hapa Dr.SLAA ni Padri na Baraza la Maaskofu watudhibitishie kwamba ni Padri wa Katoliki,tatu kuna sehemu shekhe kakatiliwa kuwa Chadema ikiwa alipenda kufanya siasa nje ya msikiti,wacheni kutumika alafu unasema unajitambua...sasa kama unasema uislam na ukristo ubakie kwenye nyumba za ibada huko chadema mbona waislam mnawabagua??
na kwanini utitiri wa mapadre umejaa huko kwan mnataka kujenga tena mfumo kristo??
nchi hii si ya kidni,hao mapadre warudi kwenye kazi zao,siasa hawaziwez
No Research no right to speak,wewe si ndo unamtuhumu Mtoi kuwa Chadema sasa nani Mbaguzi,yupo vp pale kama kuna ubaguzi,ni wapi umesikia kwa ushahidi kiongozi akitoa maneno yakibaguzi au maandishi zaidi unafki wenu,hao waliofukuzwa au kujiondoa chadema wanaushaidi wa kubaguliwa kidini au mihemko yao,usaliti wao ndio unaowatuma kusema hivyo,embu tuwekee ushahidi hapa Dr.SLAA ni Padri na Baraza la Maaskofu watudhibitishie kwamba ni Padri wa Katoliki,tatu kuna sehemu shekhe kakatiliwa kuwa Chadema ikiwa alipenda kufanya siasa nje ya msikiti,wacheni kutumika alafu unasema unajitambua...
sasa kama unasema uislam na ukristo ubakie kwenye nyumba za ibada huko chadema mbona waislam mnawabagua??
na kwanini utitiri wa mapadre umejaa huko kwan mnataka kujenga tena mfumo kristo??
nchi hii si ya kidni,hao mapadre warudi kwenye kazi zao,siasa hawaziwez
Mkuu tunasafari ndefu sana Tanzania kwa jamii zetu tena wengine wanasema wanajitambua,wanajua wacheze na tabaka lipi?,ikiwa mtu anashindwa kutofautisha dini na siasa hapo safari bado ni ndefu..Mkuu maneno yako na hoja nzito sn!
Kwa wale wenye kuona ng'ambo bilashaka wanatambua Hali halisi tunapoelekea ktk uchaguzi 2015.
Tayari wameshatugawa ki Matabaka na kiimani yote hii Ni wao kubaki madarakani na sasa vinaanzishwa vyama vya siasa kwa malengo ya kugawana hizo kura kutokana na haya Matabaka na mambo ya kidini ambayo tayari yanapandikizwa! Lengo Ni ccm kushinda!
Utasema sana ila sijui kama watakuelewa,uko ambako ndio asili yao migogoro kilakukicha sembuse wakuletewa,binadamu ni ZAIDI YA DINI,ikiwa Dini ni zaidi hakuna sababu ya kuipigia upatu..nilitoka kidogo JF, ile narudi tu kitu cha kwanza nakutana nacho.....hamadi.....ni fitina za DiniKoloniKristo NA DiniKoloniIslam. kama nilivokwishasema huko nyuma diniKoloni hazina lolote la maana la kumsaidia mwana wa Afrika zaidi ya chukizo, fitinisho, hasidisho, uuajisho, unafkisho nk nk. Ni jambo la kuchukiza na kuhusunisha sana kuona kwamba, kila mara waafrika watanzania wanapokuwa wanajadili jambo la msingi na maana kubwa kwa mustakabali wa TAIFA LA WATANZANIA na waafika kwa ujumla, inspirational point inayotumika ni DiniKoloni...kumbuka hizi ni dini zile zile zilizowabaka bibi zetu, zilizowaasi babu zetu, zilizowashika watumwa waafrika wenzetu, dini baguzi zilizoongoza, na bado zinaongoza, imani chukizo kuwa waafrika ni manyani yasiyostahili hata kuoana na mzungu wala mwarabu. Hadi leo wamiliki wa Dini Koloni wanawatupia waafrika maganda ya ndizi kaa nyani ili tuyarukie mithili ya tumbili. Lakini hatuoni haya yote, DiniKoloni zimetumika kuhalalisha mauaji ya waafrika huko Nigeria, huko Misri, huko Somalia, milipuko Huko Kenya, huku Dar, kumwagiwa tindikali huko zanzibar, Arusha nk nk. Leo hapa DiniKoloni zinatumiwa na kina Big Show na SimiyuYetu kama kete ya kutimiza malengo ovu ya kuwagawa maskini wa Tanzania kwa nia ya kuendelea kuwatawala kikoloni na kuwaibia hadi chupi zao za ndani. DiniKoloni ni Laana Kubwa kwa Mwana wa Afrika.
Mkuu tunasafari ndefu sana Tanzania kwa jamii zetu tena wengine wanasema wanajitambua,wanajua wacheze na tabaka lipi?,ikiwa mtu anashindwa kutofautisha dini na siasa hapo safari bado ni ndefu..
Mkuu tutakuwa tunarudiarudia hivo hivo mpaka somo litakapoeleweka. athari ya hii migawanyiko inayojengwa kupitia DiniKoloni ni kubwa na mbaya sana kwa kizazi cha sasa na kizazi kijacho cha wana wa Watanzania na Afrika. DiniKoloni zilitumika kuwagawa waafrika na kuwapumbaza ili ukoloni wa mzungu na mwarabu uweze kupenya kirahisi Afrika. Leo historia hii imeendelea kujiruriarudia ambapo kina SimiyuYetu, Big show na majizi nyenzie ya rasilimali za Taifa yameendelea kutumia DiniKoloni zilezile kuwagawa na kuwafitinisha wana wa Afrika. Waafrika lazima tujitambue sasa na tujue kuwa haitoshi, na wala haina maana, kuikataa DiniKoloniKristo na Kuikubali DiniKoloniIslamu na vice verse; bali kinachotakiwa ni kuzikataa DiniKoloni zote ikiwa ni pamoja na hila na fitna zao zote za kutugawa ili watutawale.Utasema sana ila sijui kama watakuelewa,uko ambako ndio asili yao migogoro kilakukicha sembuse wakuletewa,binadamu ni ZAIDI YA DINI,ikiwa Dini ni zaidi hakuna sababu ya kuipigia upatu..
alliance for change and transparency (act tanzania )
mabadiliko na uwazi
No Research no right to speak,wewe si ndo unamtuhumu Mtoi kuwa Chadema sasa nani Mbaguzi,yupo vp pale kama kuna ubaguzi,ni wapi umesikia kwa ushahidi kiongozi akitoa maneno yakibaguzi au maandishi zaidi unafki wenu,hao waliofukuzwa au kujiondoa chadema wanaushaidi wa kubaguliwa kidini au mihemko yao,usaliti wao ndio unaowatuma kusema hivyo,embu tuwekee ushahidi hapa Dr.SLAA ni Padri na Baraza la Maaskofu watudhibitishie kwamba ni Padri wa Katoliki,tatu kuna sehemu shekhe kakatiliwa kuwa Chadema ikiwa alipenda kufanya siasa nje ya msikiti,wacheni kutumika alafu unasema unajitambua...