Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Sasa mnaonyesha sura zenu waziii, mwanzo mlipinga sana kuwepo pingamizi la Uislaam ndani ya Chadema. leo kuzaliwa kwa ACT tu na kuhusishwa kwa Zitto, swala la Uislaam linajitokeza. Ama kweli chama kimeingiliwa,kisha hao hao mnajifanya hakuna Udini - khaaa!
 
huyo mwenyekiti Limbu alikuwa CUF,akakimbilia ADC,nako tayari amehasi sasa ni ACT!kweli huu ni muungano wa waasi ambao utadumu tu iwapo jumapili mbili zitakuja kwa pamoja!
Na tayari kina mwenyekiti. Du
 
Halafu ni kwa nini cdm hawakitaki hiki chama cha act kwani kimewashika wapi au kunasehemu kimewafungia njia wasipite? Jamani tujiulize kunani pale cdm na watu wao act ndiokinaanza wala hakina mbunge wala diwani au serkali za mitaa kwa nn ukisakame chama ambacho bado kinajitangaza kwa wa tz? Mm naona kunakitu wanakiofia act mpango mzima viva act viva
Umejuaje kuwa cdm hawaipendi act?
 
Hatutaki utitili wa vyama usiokuwa na tija,watanzania ss tunataka vyama viwili tu.Kukosa uelewa tu.Si kila aliyesoma ana uelewa.Tafakari
 
CHUKUA UKWELI HUU
Kwa sasa Tanzania inavyama zaidi ya ishilini vilivyosajiliwa rasmi na vingine bado havijapata usajili wa kudumu,miongoni mwa vyama hivyo ,vipo ambavyo vinamajina ya kiingereza na waasisi wake wamejaribu mara kadhaa kutohoa maana halisi ya majina yake na vifupi vyao kwa ki

1780738_597830203636473_171872003_n.jpg 1796531_546773255436456_1567410942_n.jpg 993024_1469166429969052_973477297_n.jpg swahili,bt ni ukweli mchungu kwamba vyama hivyo havina nguvu ,havitoi ushindani uliokusudiwa na vingine vimekufa chali kifo cha mende pamoja na waasisi wao,naamaanisha vyama vyote vyenye majina ya kiingereza vimekufa na vingine ndo vinarushaa miguu vikimalizikia kukata roho,tofauti na baadhi ya vyama vyenye majina ya lugha yetu ya taifa kama vile CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA),na CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)


kwa leo nitavitaja vyama vichache vinavyotumia majina hayo ya kigeni kwa ajili kukumbushia bt hata wewe waweza kuongezea,

1:NCCR..
2:UDP..
3:TLP..Tanzania Labour Party
4:CUF..Civil United Front
5:ADC.. Alliance for Democratic Change
6:ACT..Alliance for Change and Transparency

Naweza nisiwe sahihi sana katika utabiri wangu huu bt pia unaweza usiwafurahishe baadhi ya watu,nauona mwisho mbaya wa kisiasa wa chama kipya cha ACT chama cha WAHA wenzangu wa Kigoma pamoja na waasisi wake na watakaojiunga nao,usiniulize sababu we refer sababu za vyama tajwa hapo juu then tuviombee amani ,kwani waliosema taifa kwanza chama baadae ndo hao hao walioanzisha chama hicho,sasa imekuwa kinyume chake imekuwa chama kwanza Tanzania kaskazini baadae
,japo natambua vipo vyama vyenye majina ya kiswahili bt vimekufa navyo,sababu za kiuchambizi nitaziweka hapa siku nyingine

nimalizie kwa kuwapa taarifa nilikuwa mtu wa kwanza kufatwa hapa SAUT nijiunge nacho,nikawaambia kwangu Mimi hakuna mbadala sahihi wa CCM zaidi ya CDM,walipoulizia habari zangu zaidi wakambiwa "jamaa japo muha bt ni CDM damu hamuwezi kumbadilisha "wakaachana na mimi,alama ya Nyota nayo iliyopo kwenye bendela yao ni tatizo kwani wajuzi wa dini wanasema ni alama ya NYOTA MAGHARIBI.



 
Chagadema ishakufa mapema subiri matokeo kalenga muone na kule chalinze mshindi kashapatikana.
 
Chagadema ishakufa mapema subiri matokeo kalenga muone na kule chalinze mshindi kashapatikana.

Kwahiyo Kalenga na Chalinze CDM wasipopata ushindi kwahiyo itakuwa imekufa?? B4 Mgimwa hamjamalizana nae na huyu Bwanamdogo, CDM walikuwa na hayo majimbo??
Kwa Uelewa huu, taifa limeangamia.
 
Back
Top Bottom