Mtz-halisi
Member
- Nov 28, 2009
- 47
- 20
Siku hizi ajira ngumu sana, vijana wanatafuta ajira kupitia njia mbali mbali, kwa sasa ni kupitia SIASA, utakuta vijana wenye nguvu na Taaluma zao wanazunguka huku na huko wakitafuta pesa nyingi hata zisizo salaama. Leo hii watu wanaanzisha CHAMA harafu wanatokelezea na misemo ya ajabu eti Taifa kwanza chama baadaye, sasa si watuambie tuu hiyo ni NGO ya kuingiza kipato. au watuambie wao ni kikundi cha wanaharakati.
Naona vijana wanatoka jasho kuendeleza sijui ni Chama au NGO, bila kutuambia wanapata wapi pesa za kuzunguka kujenga hicho Chama/NGO.
Njooni mtuambie nyie niwakina nani, nani anawapa pesa na wanaowapa pesa wanazipata wapi, na kwa nini mmekubali kutumika, hivi nyinyi vijana tunawajua maadili yenu leo mnataka kutuambia ndio wazalendo. Kweli uzalendo wa Tanzania unatetewa na wahuni, walevi, vijana wasio na heshima duu Uzalendo wa Tanzania una mambo.
Naombeni sana vijana kabla ya kushabikia mambo mumuogope MUngu aliye hai. Nawaombea vijana Mungu awape kazi na mfanye kwa bidii huo ndio Uzalendo. Imenibidi kusema kwa sababu nchi yangu naipenda, na vijana wetu ndiyo wamechagua maisha ya kijanja janja. Mungu utusaidie