Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Chagadema ishakufa mapema subiri matokeo kalenga muone na kule chalinze mshindi kashapatikana.
Uzuri wake hata nyie mnajua ukiacha CCM chama kingine ni Chadema tu ndio maana husikii Cuf sijui ACT au kakaye ADC maana hivi kiongozi wake ni mmoja.
 
Kweli kabisa kwasababu kimejumuisha wasaliti wote toka vyama vingine. Lakini kubwa kuliko yote Kiongozi wake anamiliki chama kingine ADC.

Hata Dr Slaa anayo kadi CCM na ameilipia hilo hulioni... au mkuki kwa nguruwe!
 
Last edited by a moderator:
Sisi kama ACT chama cha upinzani adui sio chadema adui yetu ni sisiemu na serikali yote iliyopo madarakani watanzania wamechoshwa na ufedhuli wa ma sisiemu uliowakandamiza kwa miaka 50 na ushee
Hizi nguvu unazo tumia hapa kuitukana chadema, kama opposition zielekeze ccm

siku zingine ushike adabu zako

na uache kabisa kuugusa gusa uislam na kuhusisha na mambo yenu ya siasa uchwara,ukiugusa tuh inakugharimu wewe na jamaa zako,hatujali wewe ni sisiem,wewe ni chadema,wewe ni cuf,wewe ni act au yyte yule,ukiugusa tuh ujue una case ya kujibu

nafuatilia nyendo zako hatua kwa hatua,nitakubaini tuh
 
CHUKUA UKWELI HUU
Kwa sasa Tanzania inavyama zaidi ya ishilini vilivyosajiliwa rasmi na vingine bado havijapata usajili wa kudumu,miongoni mwa vyama hivyo ,vipo ambavyo vinamajina ya kiingereza na waasisi wake wamejaribu mara kadhaa kutohoa maana halisi ya majina yake na vifupi vyao kwa ki

View attachment 142799View attachment 142800View attachment 142801swahili,bt ni ukweli mchungu kwamba vyama hivyo havina nguvu ,havitoi ushindani uliokusudiwa na vingine vimekufa chali kifo cha mende pamoja na waasisi wao,naamaanisha vyama vyote vyenye majina ya kiingereza vimekufa na vingine ndo vinarushaa miguu vikimalizikia kukata roho,tofauti na baadhi ya vyama vyenye majina ya lugha yetu ya taifa kama vile CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA),na CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)


kwa leo nitavitaja vyama vichache vinavyotumia majina hayo ya kigeni kwa ajili kukumbushia bt hata wewe waweza kuongezea,

1:NCCR..
2:UDP..
3:TLP..Tanzania Labour Party
4:CUF..Civil United Front
5:ADC.. Alliance for Democratic Change
6:ACT..Alliance for Change and Transparency

Naweza nisiwe sahihi sana katika utabiri wangu huu bt pia unaweza usiwafurahishe baadhi ya watu,nauona mwisho mbaya wa kisiasa wa chama kipya cha ACT chama cha WAHA wenzangu wa Kigoma pamoja na waasisi wake na watakaojiunga nao,usiniulize sababu we refer sababu za vyama tajwa hapo juu then tuviombee amani ,kwani waliosema taifa kwanza chama baadae ndo hao hao walioanzisha chama hicho,sasa imekuwa kinyume chake imekuwa chama kwanza Tanzania kaskazini baadae,

nimalizie kwa kuwapa taarifa nilikuwa mtu wa kwanza kufatwa hapa SAUT nijiunge nacho,nikawaambia kwangu Mimi hakuna mbadala sahihi wa CCM zaidi ya CDM,walipoulizia habari zangu zaidi wakambiwa "jamaa japo muha bt ni CDM damu hamuwezi kumbadilisha "wakaachana na mimi,alama ya Nyota nayo iliyopo kwenye bendela yao ni tatizo kwani wajuzi wa dini wanasema ni alama ya NYOTA MAGHARIBI.



Nimependa uchambuzi wako,short but clear.Kila mwenye akili ya kutambua anajua fika kuwa ACT imeanzishwa si kwa ajili ya kutoa upinzani kwa serikali bali kwa ajili ya kupunguza nguvu za upinzani hasahasa CHADEMA wakati wa uchaguzi mkuu,pia kumsaidia ZZK asikose chama cha kutumia kutimiza ndoto zake za kugombea uraisi wa Tanzania hapo 2015,Japo kuna uwezekano wa chama hicho kupata ufadhili wa chama tawala katika uchaguzi ujao,lakini impression ya jamii ni kuwa hicho ni chama cha wasaliti.Hiyo alama ya nyota pia ni tatizo,kwani aina tofauti na nyota ya mzee wa upako,ni nyota ya zionism,ukiwauliza Wapalestina watakuambia vizuri jinsi wanavyoteswa na nyota hiyo
 
waacheni watimize ndoto zao, mbona mnawafuatilia sana. chadema naona mnaanza kuweweseka sasa, hiyo siyo demokrasia ya kweli.
 
siku zingine ushike adabu zako

na uache kabisa kuugusa gusa uislam na kuhusisha na mambo yenu ya siasa uchwara,ukiugusa tuh inakugharimu wewe na jamaa zako,hatujali wewe ni sisiem,wewe ni chadema,wewe ni cuf,wewe ni act au yyte yule,ukiugusa tuh ujue una case ya kujibu

nafuatilia nyendo zako hatua kwa hatua,nitakubaini tuh

0BE94AF0-BF5D-4E26-B094-E373AD7C98FE_mw1024_n_s.jpg
 
Kweli kabisa kwasababu kimejumuisha wasaliti wote toka vyama vingine. Lakini kubwa kuliko yote Kiongozi wake anamiliki chama kingine ADC.

dr slaa anamiliki kadi mbili za ccm na chadema
 
Chama cha wauza migebuka waha na waislamu yaani wao wameamua kujitosa na kuja na bendera ya dini ya kiislamu haya Alliance for Cowards and Traitors as some say you are in for it hivi nani atawaamini nyie kwa hao viongozi walioshika nafasi za juu sana kwenye vyama vyao vya mwanzo wakavisaliti leo ndio watangaza vyama wale tu hizo hela za Kikwete anaficha wizi wake ameiletea deni nchi trillion 30 na mtambo wa IPTL aliousaini na kuitia gharama nchi sasa utaendelea kula fedha za nchi badala ya kukabidhiwa rasmi akiondoka tu madarakani atakamatwa na kuswekwa ndani kwa kuliingizia taifa hasara kwa matumizi mabaya ya kiti chake kuanzisha vyama vingi vya kuvuruga demokrasia na kumaliza mali asiri za nchi
 
Watu wengi huwaga mnacomment vumbi tupu ooooh cdm imekufa , alaf ukiangalia uzi na alichocomment haviendani
 
Back
Top Bottom