- Thread starter
- #101
Hatutaki chama kitakacholeta Magaidi Tanzania
magaidi tayari wapo wakina lwakatare na kilewo
Hatutaki chama kitakacholeta Magaidi Tanzania
Sasa huyo Zitto sio Mzinzi? Huyo mtoto aliyenae alizaa na mama yako?
China NA USA ni NCHI, ACT ni kijiwe cha wapiga ramli wa Kiislam wanaotokea UJIJI
ACT chama cha msikitini UJIJI
Huu utitiri wa vyama vya upinzani ni wala haujengi kabisa!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hapo ndio umefika ukomo wa mawazo Yako?
China NA USA ni NCHI, ACT ni kijiwe cha wapiga ramli wa Kiislam wanaotokea UJIJI
Hivi jamani nielezeni, hicho chama kina alama ya njota.......chama chenye bendera yenye alama ya nyota ni hatari kwa watanzania.muasisi wake ni mdini na msaliti
hicho siyo chama , ni kikundi cha WASALITI na MAMLUKI ( LIMBU )
Halafu munasema Chadema sio chama cha kidini!
chadema ni kijiwe cha wapiga ramli wa kikatoliki
Hivi jamani nielezeni, hicho chama kina alama ya njota.......
msikiti au kanisa gani umesikia cdm ilienda kuomba wanachama ?
Chama cha wasaliti
Mbowe ajiandae kurudi kwenye bashara zake za kilaghai chadema lazima ipotezwe kwenye siasa za tanzania tuliwambia wamuombe msamaha zitto wakajifanya wajanja sasa fimbo wanazo.
chadema ni genge la wahuni na wala ruzuku
Wasaliti wakubwa nyie ishieni hukohuko kigoma
kina alama ya nyota kama bendera ya marekani. marekani ni nchi ya kiislamu mkuu