Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Kwli hii ni Alliance for Crimianals and Traitors
 
sasa chadema kife mara ngapi??

mnawabagua hata ambao sio wakatoliki??

dhambi ya ubaguz mbaya sana,yani wenyewe kwa wenyewe mnabaguana??

bora mfe tuh

Sisi kama ACT chama cha upinzani adui sio chadema adui yetu ni sisiemu na serikali yote iliyopo madarakani watanzania wamechoshwa na ufedhuli wa ma sisiemu uliowakandamiza kwa miaka 50 na ushee
Hizi nguvu unazo tumia hapa kuitukana chadema, kama opposition zielekeze ccm
 
Unaposema "kufa" una maana gani. Nijuavyo kufa ni kitendo cha kutokuendelea kuwepo. Mtu akifa ina maana hatuwezi kumuona tena. Chama kikifa ina maana kitakuwa hakipo. CDM ina madiwani karibu 500 nchi nzima. Ina viongozi wa vitongoji kibao. Kukosa kushinda kalenga hakukiui Chama. Kujenga chama hadi kushinda chaguzi sio kazi nyepesi. Inawezekana kwa nchi ambazo zimeamka. Tanzania bado watu wake wamepumbazwa na mfumo dume wa CCM na wasiojua haki zao. Itachukua muda. Hadi vijana watakapochukua jukumu la kupiga kura na kuwaacha wazee kutuchagulia viongozi

Tatiizo siyo kuamka kwa vijana wa Tz ila ni mfumo wa upigaji kura uko tofauti na Kenya hapa hata daftari la kura watz hamna habari nalo hakuna anaenda mahakani kuhakikisha haki imetendeka,hamuoni Kenya na Pemba hakuna wakuleta ujinga
 
Wataalamu wa dini, naomba kuuliza hii nyota ya magharibi inaashiria nini?? Nini maana yake??

na bendera ya marekani ina alama ya nyota. nyota ni ishara ya maendeleo
 
bendera ina nyota kama ya msikiti

mkuu, na bendera ya marekani ina nyota. kwa hiyo nayo ina maanisha misikiti. bendera ya china ina nyota .kwa hiyo nayo ina maanisha misikiti?
marekani na china wanapenda sana waislamu ndio maana wakaweka nyota kuonyesha mapenzi yao kwa misikiti
 
Chadema buriani, kwaheri ya kuonana tuliwapenda lakini ubaguzi na ubinafsi umewapenda zaidi.

chadema chama cha kibaguzi kimesambaratika. kilizinduliwa na mtei marangu kilimanjaro na kimeishia tengeru shambani kwa mtei
 
Hakuna chama bora kama chadema Tanzania hii na ukibisha hili ujue ni mchawi tu.
 
Back
Top Bottom