Mkuu, usitumie nguvu kubwa kwa haya majitu, ni maccm yanakuja kwa style ya upinzani.
huyo Limbu kutwa kuanzisha vyama, kila chama kikiwa na mgogoro huyo mzee wa TISS anajitokeza kuanzisha.
unakumbuka alivyomtafuta Rashid wa CUF? na sasa kamnasa Zitto.
Cha kujiuliza je ADC ameifikisha wapi? na ACT ataifikisha wapi?
ndio style ya kula kwa bwana Limbu kama humfahamu...
tTazama bendera hapo, utamjua tu.. MM kashachemka hata kabla hajaanza kazi...
MICHUZI BLOG: Katibu Mkuu wa ADC katika ziara mkoani Mwanza
Mkuu asante kwa kunitoa wasiwasi. Kumbe tayari wana uniform na bendera zao? Nani anagharimia hivi vitu? Inawezekana kabisa kuwa chama tawala kiko nyuma ya hii kitu. Soon tutamsikia ZZK anatangaza kujiunga huko.
Tiba
Jambo lolote la kitaifa linaloanzishwa kwa mahaba binafsi basi jambo hilo hufa haraka mno...
Tulia wewe msaliti huo ndo ukweli...Tunawapa mwaka mmoja tuu, baada ya hapo kushnei..
Shehe Yahaya.
Kachama ka ACT...... Mkuu wamekupa ofa ya kukapromote nn?mkusanyiko wa wehu uko mtaa wa ufipa
Zito kuwa mwenyekiti na mgombea urais wa Chama ACT. Ndoto zake zitakuwa zimetimia
ni coward coz anaogopa kusema msimamo wake,hapo hapo ni traitor coz ameshawasiliti kina Salum Mwigamba.
Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
kahtaan mwanao wa kufikia Matola yuko wapi??Jamaa aitwa Salum, sio Samson tena?
Hiki chama cha ku-ACT ni cha mafedhuli na mabaradhuli wa ujiji wakisaidiwa na mashetani wa lumumba.
Huu utitiri wa vyama vya upinzani ni wala haujengi kabisa!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
we pi.mbi nini??
nani kakuambia waislam tunahitaji chama ili kutetea maslahi yetu??
au unadhani kwa mlichofanya chadema kuingiza ukristo basi unadhani ukipandikiza propaganda hiyo kwa hao act ndio utapata pa kuegemea??
we muislam kafiri tuh wewe?
Ustaadh makalio upo?
Kachama ka ACT...... Mkuu wamekupa ofa ya kukapromote nn?
Kwaiyo ACT ni chama Anti-Padre? Ndio maana mkakizindulia kwenye msikiti wa magaidi pale UJIJI Kigoma?yani nyinyi jamaa mapimbi sana
so,mkadhani kuja na chadema na wale mapdre padrev wenu kama Dr.W.Slaa sisi watanzania tunaweza kuwa wehu tukawapa ikulu?
mmevurugwa sana