Huko PM nitumie muda na location, coz nitakuzimisha pumzi, in a second...state ur where abouts, sichezi na kimavi mie, ntakufanya Nyamafu
Anza na mama yako, then uje kwangu!
Huko PM nitumie muda na location, coz nitakuzimisha pumzi, in a second...state ur where abouts, sichezi na kimavi mie, ntakufanya Nyamafu
Kukaa kimya napo yaweza kuwa jibu, we are totally different ndugu!
Kama mlijua yote hayo ilikuwaje bado ni mbunge, mwenyekiti wa kamati nyeti bungeni, na hata nafasi zote alizozishika baada ya kula hela za AICC? Japo mimi najua AICC ilijengwa wakati wa EAST AFRICA COMMUNITY Lowasa akiwa bado kijana na alikuwa umoja wa bijana na TANU. Lowasa amekuwa mkurugenzi na sio msamizi wa ujenzi wa jengo la AICC.
Kwa vile alitoka hapo na kuwa waziri hadi waziri mkuu huo unaoongea ni upuuzi ma unastahili kupuuzwa.
Issue ya afya ni siri ya mtu na daktari wake tupe ukweli na sio kuropoka. Mrema alipoambiwa anaumwa aliweka vyeti wazi wewe weka vya Lowasa. Mbona JK alianguka majukwaani wakati wa kampeni lakini hadi sasa ni raisi?? Mkikosa cha kuongea muwe mnakaa kimya. Watanzania mnao onhea nao sio wale wa 1954, hilo mlijue kabisa.
Naomba niweke angalizo hapa mimi sio mwana Ccm na wala sijawahi kuwa mwana Ccm na sitokaa niwe mwana Ccm kutokana na unafiki wenu, ila imenilazimu kuandika haya kupinga huu ujinga wa kitoto mnaoanza kuwaletea watu wenye akili.
Na huo ndiyo ukweli. Wew kama mimi, mie siyo CCM wala CDM au UKAWA at all. Ila napenda FACTS na kusimamia ukweli na weledi. Kiukweli pamoja na mapungufu ya EL, ila ni afadhali mara 100 kuliko yeyote yule wa CCM. Huo ndiyo ukweli. Itakuwa ni makosa makubwa kama hatutachagua mtu ambaye anatake action promptly, na kiukweli watu hao kwa haraka ni Dr Slaa au EL. Sipepesi macho katika hilo. Tunapaswa kuangalia hali ilivyo Tanzania, na tukikosea itatugharim sana tena sana. Mark my words. Hao wengine ni watu wazuri ila inapokuja suala la maamuzi nao wataishia kulia lia badala ya kuamua
Omg...!! So u knew ALL UR MAMA BOY FRIENDS & SUGAR DADDIES...!!? na all secrets she did...!?? Ulaaniwe, na JEHANAM inakusubiri, hizo ndio TABIA KUU ZA SATAN...u see my revelations...!!? Moto wa milele unakungoja...The hell is for you...🐙🐙👿👿👌👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Very +ve thoughts...!!!
Dr. Slaa is very capacitive...i agree...well said..!!!
E. Lowassa is very good as well compared to all other CCM presidential aspirants by the time being...!!!
Tatizo...ukisema Lowassa tu, utasikia UMEHONGWA...mara fisadi mara mgonjwa..mara cjui nn...!!! hizi mbinu za kitoto sana hizi...PCCB, POLICE, MAHAKAMA, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA, vyote HANA KESI AU KUMTUHUMU WALA HAJAWAHI KUSHTAKIWA MAHAMAKANI KWA UFISADI...!!
Ndio maana nasema hizi strategies za kitoto..na will never bear fruits....sbb watanzania leo wanajua ukweli halisi...!!!
Nyie mnaopenda kumsifia JK kwa mafanikio yake ya miaka kumi, mkumbuke kuwa hizi design za UVCCM kutukana viongozi nazo zimeanza katika kipindi chake. Vijana wamekosa adabu. ...Hii bi pure Anaconda (Makonda) style.
We have a lot of things to do as youth of this nation, by the way how much do you get from him?
Are counting urself a YOUTH OF THIS NATION..!!? with
such a cr.ap & scrappy headed...!!!? Say, ur youth msukuma mkokoteni na mfuata bendera of this NATION....or a house boy for ur bosses...!!!
YOUTHHOOD is not being enslaved and used up by others like u do...swine...!!!
Nadhani nilishajieleza hapo awali...am the Boss of my own company, for more details tembelea BRELA utapewa details zote...! I am married to one wife, and I got three childrens...! LUBAJARO are just initials of our names I.e. myself, wife and our three children..!
In short am the Owner, Founder and CEO of my own company...LUBAJARO INVESTMENT Co. LTD had employed more than 76 staff a across the country...! Please tembelea BRELA for more details...huu sio ubao wa matangazo nalijua hili...!
Are counting urself a YOUTH OF THIS NATION..!!? with
such a cr.ap & scrappy headed...!!!? Say, ur youth msukuma mkokoteni na mfuata bendera of this NATION....or a house boy for ur bosses...!!!
YOUTHHOOD is not being enslaved and used up by others like u do...swine...!!!
Duh!! Mbona kama jamaa kavuta shuka asubuhi, Kwani kuna vyeo vilivyobaki? Nape, Makonda and the like walicheza karata zao wakati zilikuwa zinahitajika. Sasa huyu jamaa anaibuka wakati kumeshakucha
Dogo kajiandaa pesa za kulipa mawakili, maana kajiingiza kwenye kesi moja kwa moja.
Wait...misijekuwa huyu dogo katumwa na timu Lowassa aongee hayo alafu watakapomtishia kumpeleka mahakamani dogo aitishe tena waandishi wa habari aombe msamaha na kuwa alitumwa kufanya hivyo na kulipiwa kila kitu na mtu mmoja ambaye anamuona Lowassa ni tishio kwake, alafu hiyo inakuwa breaking news kwa siku kadhaaa, mtampenda tu