Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Ni nani? Hoza aliekuwa mchezaji wa simba? Hoza yupi mwenye uwezo wa kuita press conference na kumzungzia EL!! Au katumwa!!
 
Natamani kukupiga risasi ili ufe, wewe na huyo lowassa

kwani mkuu nimekukosea nini, mi siwezi kutukana maana siyo hobi yangu lakini kama imefikia hatua ya wewe kutamani kunipiga risasi itabidi utafute jukwaa lingine maana hapa tunapigana kwa hoja tu
 
Hata media zimepuuza fitina na majungu haya
 
umejishushia hadhi ndogo iliyobaki, umelipwa kiasi gani? team ya lowassa imewashika pabaya sana nyinyiem, na mtakoma nae, ngoja aje kuwa rais watu watakavyofilisiwa kwa visasi na kufungwa.
 
Katika Gazeti la leo la Mwananchi, Huyu Fisadi anashikilia nafasi ya tano ya wabunge Vilazaa na BUBU bungeni
 
Aka Kajamaa kametupa mawe kinoma, Mzee wa jazba Mamvi naona hajamtuma Alshababu wake kujibu mapigo.
 
Jengo lipi la AICC huyu dogo anazungumzia? AICC ilikamilika 1976. Na ilijengwa na kampuni ya Italia.Hata kama simpendi EDO hili namtetea. Ana maupuuzi kibao lakini sio ujenzi wa AICC
 
Jengo lipi la AICC huyu dogo anazungumzia? AICC ilikamilika 1976. Na ilijengwa na kampuni ya Italia.Hata kama simpendi EDO hili namtetea. Ana maupuuzi kibao lakini sio ujenzi wa AICC

Kwani wewe ni mfanyakazi wa AICC?
 
Back
Top Bottom