Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

ye ni nani awafundishe watu kuhusu lowasa ...wakt aicc inajengwa alikuwepo ...ok alete ushahidi....
n way mti wenye matunda unapigwa mawe.......GO LOWASA GOOOOOOOOOOO ITS YOUR ZAMU AWAMU YA NNE
 
Mfukuzeni kwenye chama.unatuambia nini sisi kama unalea mwizi na wewe c mwizi kwani kuna tofauti gani kati ya El,chenge na JMK.nyie wote wezi tu ipo siku yenu,

huyo katumwa na mgombea wake! sas EL amewazidi miaka kumi ilioisha, mapovu yanawatoka! wagombea ni wengi mbna lowassa tu? HOTUBA ZA KUANDALIWA NA KUITIWA WANAHABARI! KUTUMIKA KUBAYA! Ukimsikia mtu analalama LOWASSA,LOWASSA ujue kambi yake kashikwa!
 
Kwa andiko hili nawe ulipata elimu ya juu? Ni lini ulimpima afya Lowassa. Yaani pesa uliyotumwa imekupofusha hadi umeshindwa kutambua ni lipi la kusema na lipi la kuacha? Nani mzima katika uongozi wa juu CCM?Acha bwana, umemwaga mboga siye tutamwaga ugali. Nyamaza na usirudie upuuzi huu.
Huyu ndiye mgombea wetu na mkimfukuza au kutompitisha tunaenda naye ACT-WAZALENDO
 
Jamani hawa watu watajificha wapi Iwapo Edo boy atakuwa PRESIDENT wa nchi hii??? Mwenyekiti wa chama cha kijani fanya maamuzi kieleweke mapema. Ukimya wako watu wanahisi kama wewe ndiyo unawatuma hawa watu kuongea coz you are scared of Edo Boy, Kidume cha........
 
Lowasa sio fisadi ila chama cha mafisadi (ccm). Mmefika mwisho wenu sasa mwaanza kulana wenyewe kwa wenyewe. Good bye
 
watanzania wanatakiwa kumpuuza edward lowassa


NI VICHEKESHO,

WANAOMSHAMBULIA LOWASA RUKSA!!
WANAOTOA MAONI YAO KWAMBA LOWASA ANAFAA, HAPA TUNA AMBIWA LOWASA ANAFANYA KAMPENI!

Hii ina tofauti gani na unampiga mtu huku umemfunga mikono asijibu wala kujitetea?

The much I know Huyu bwana hajatangaza kugombea urais.

Basi kama ni ruksa watu kutoa maoni yao kwa mtu asiyefaa kugombea basi na iwe ruksa na watu kushauri au kwenda kumsihi mtu atangaze nia.

Mti wenye matunda mazuri ndio hupigwa mawe na wenye akili zetu tumesha realize kwamba Lowasa anafaa.
 
kaaz kwel kweli. kama mipango ya lowasa ni sahihi basi nampgia saluti. tujiulize huyu kijana katokea wapi na katumwa na nani? huyu si kijana wa lowassa? kama mahesabu yao ni kweli basi wanaandaa mazingira ya lowasa kuondoka ccm wakituaminisha kuwa hakubaliki. kisha anatimkia act kuchukua nafasi ya urais kwa mujibu wa zitto, kuwa watamwachia mtu nafasi hiyo ila atambue misingi ya act. kama itakuwa hivi basi nchi hii kuna master minds.
 
magamba yanaruka na kukanyagana...raha sana vita vya panzi furaha ya ukawa......aiseee mpigeni chini huyo fisadii ...mzee hoza endeleza mapigo itisha press conference nyingine

We hujui kuwa vita halisi ya panzi ni kati ya ACT na UKAWA? Fungua macho
 
Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.
kumekucha kumekucha
 
Kelele zote hzo nashukuru ndg zangu wa huko kijijin hawazipati ila kampen zikianza ntarud nikawaelekeze mazur na ubora wa Lowasa lazima wampatie kura zao zote
 
Sijasoma andiko lote ila nyie mabwana wadogo wa ccm mambo mengine mnatumika hadi mnamtukana mwenyekiti wenu wa chama wa taifa, hivi hadi anampa uwaziri mkuu hakuyajua hayo ya aicc? Na iweje katika faulo zote za wataka urais wa ccm umemuona Lowasa tu au ndo kutumika? Pamba.f kabisa nyie
 
NI VICHEKESHO,

WANAOMSHAMBULIA LOWASA RUKSA!!
WANAOTOA MAONI YAO KWAMBA LOWASA ANAFAA, HAPA TUNA AMBIWA LOWASA ANAFANYA KAMPENI!

Hii ina tofauti gani na unampiga mtu huku umemfunga mikono asijibu wala kujitetea?

The much I know Huyu bwana hajatangaza kugombea urais.

Basi kama ni ruksa watu kutoa maoni yao kwa mtu asiyefaa kugombea basi na iwe ruksa na watu kushauri au kwenda kumsihi mtu atangaze nia.

Mti wenye matunda mazuri ndio hupigwa mawe na wenye akili zetu tumesha realize kwamba Lowasa anafaa.




Hili kwa kweli lazima tulipigie kelele.
Sio haki kabisa.
Huu ni uonevu mkubwa na unafanywa makusudi ili ajibu halafua waanzishe malumbano yasiyo na tija.
Mfano tu Juzi prof. Muhongo na Januari tumeambiwa wamepewa tuzo ya wanasiasa wenye mafanikio ,hili ni jambo zuri mtu akisifiwa lakini hata hivyo sijamsikia hatujamsikia Membe na Nape wakitoa tamko la kupinga na kusema kuwa hiyo tuzo ilipangwa.
Lowasa akiambiwa kuwa anaongoza kwenye tafiti inakua ni jazba na vitisho kwa wale walioandaa tafiti hizo.

Ni kweli kabisa kama kusema kuwa mtu anafaa kugombea urais ni kampeni basi hata kusema kuwa hafai nayo ni kampeni pia mana zote zina zungumzia uchaguzi.

Kama tunaambiwa watu wanatumwa kumshawushi agombee basi tuambiwe pia hawa wengine nao wametumwa kwani ikulu sio mali ya kikundi cha watu hata waamue eti fulani yeye hafai hata kuchukua form ili tuasiingie wakati amekua mpaka waziri mkuu.

Mfano uko wazi wakati serikali na viongozi wa CCM imesema wananchi wapigie kura ya NDIO kwemye katiba pendekezwa ,lakini jumuia ya maaskofu wa kikristo waliposema ipigiwe kura ya HAPANA ilionekana kwamba ni kuwashinikiza wananchi na nikinyume na demokrasia na ilileta mzozo mkubwa.

Kwenye siasa kupinga na kukubali vyote ni kampeni.
Kwa hiyo wanaopita kumpiga kampeni kuwa Lowasa hafai nao wakemewe vinginevyo na wale wanaosema anafaa waachwe .
Hiki lisipopigiwa kelele litaendeleza hizi siasa za chuki na visasi ndani ya CCM.
Utumishi na uongozi wa umma hautakiwi ufanyike kwa chuki na makundi kwani hakuna anayeweza kusema atatawala kwa katiba yake tofauti na katiba na sheria za nchi.
 
Tunapomsema vibaya EL, tujue tunazidi kumpa baraka tumuache pm wetu mstaafu akae na amani yake. Kifupi yuko juuuuuuuuu, wapi timu edooooo_safari ya ma2maini kubali uhesabiwe
 
Lowasa kazi anayo kwa ufisadi huu sijui atatokea wapi kila sehemu anapigwa za uso tu.

Kama ni ufisadi Lowassa wanamuonea; kama wao ni wasafi, wameshindwa nini kumchukulia hatua stahiki? Serikali ni yao, vyombo Vya usalama ni vyao, iweje waishie kupiga kelele na kumpaka matope?

Vv
 
Back
Top Bottom