Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Hahahahahahaj Km Tanzania watamchagua Pinda au Membe na kwahali ya mwaka huu ya Ukosefu wa Mvua Taifa kufikia mwakani km mwez huu litaangamia. Amini nawaambia. LOWASA LOWASA LOWASA tunakuomba kachkue Fomu wakikutosa nenda chama chochote cha upinzani Chukua fomu gombea Wewe ndio Rais. Amini nawaambia Watu wanakutaja sana tena sana. ACHANA NA WAPUMBAVU HAO.