Lowassa hata iweje....ndio RAIS....tatizo hawa vitoto vinavyotumika na Maembe mabovu, hawana hoja...wajinga, wa hovyo....CCM kwa sasa NI LOWASSA TU....
Watanzania wa sasa wanajua, yeye kaongea kama HOZA...kaoza huyu....yeye asimpe kura yake...sisi tutampa Lowassa...full stop..!! na aseme katumwa na nani..!!? Sbb aliyemtuma sie CCM insiders tunajua...na strategy za kipuuzi puuzi hizi...Lowassa ndio yuko mbele sana, wamechelewa...!!!
Lowassa hata angegombea mara kadhaa sio sbb, Rais wa Nigeria, Mr. Bhuhari aligombea mara 3 akashindwa..leo kawa Rais, aged 72 years ....so Hoza ushaoza ww, huna hoja, voroja vya mabwana zako....
jiandae kisaikolojia pa kwenda....!!!!