Kama watu wenye akili ndiyo wako kama wewe basi nafuu wasio na akili kabisa. Kumbi za mikutano AICCziko nyingi na hadi leo zinaendelea kujengwa. Hata ukarabati pia ni ujenzi na unatumia hela nyingi tu. Aliyetilia mashaka utumishi wa Edo ni Nyerere na intelegesia ya Nyerere ilikuwa makini siyo kama ya inteligesia ya Kova. What a fallacy statement, ' Kikwete alianguka wakati wa kampeni hivyo ugonjwa sio shida.' What a nuisance conclusion? Halafu unasema watanzania wa leo sio wa 1954, si ni bora hata hao 1954 kama wa 2015 wana fikiri namna hii. Kwa akili yako unaona Kikwete amekuwa Rais bora? Huoni tatizo. Kwamba hospitali hakuna dawa, shule hazina chakula serikali haina hela huku haijaingia vita yoyote na Taifa lolote hujui. Kwako mambo yooote poa tu. Tupate Rais kama Kikwete tena. Unasikitisha sana kijana.
Kama mlijua yote hayo ilikuwaje bado ni mbunge, mwenyekiti wa kamati nyeti bungeni, na hata nafasi zote alizozishika baada ya kula hela za AICC? Japo mimi najua AICC ilijengwa wakati wa EAST AFRICA COMMUNITY Lowasa akiwa bado kijana na alikuwa umoja wa bijana na TANU. Lowasa amekuwa mkurugenzi na sio msamizi wa ujenzi wa jengo la AICC.
Kwa vile alitoka hapo na kuwa waziri hadi waziri mkuu huo unaoongea ni upuuzi ma unastahili kupuuzwa.
Issue ya afya ni siri ya mtu na daktari wake tupe ukweli na sio kuropoka. Mrema alipoambiwa anaumwa aliweka vyeti wazi wewe weka vya Lowasa. Mbona JK alianguka majukwaani wakati wa kampeni lakini hadi sasa ni raisi?? Mkikosa cha kuongea muwe mnakaa kimya. Watanzania mnao onhea nao sio wale wa 1954, hilo mlijue kabisa.
Naomba niweke angalizo hapa mimi sio mwana Ccm na wala sijawahi kuwa mwana Ccm na sitokaa niwe mwana Ccm kutokana na unafiki wenu, ila imenilazimu kuandika haya kupinga huu ujinga wa kitoto mnaoanza kuwaletea watu wenye akili.