Sio uongo wewe ni underground ambaye huna kazi (jobless) mbowe na slaa wanakutumia kwa payrol ya 300000 kwa mwezi
Umeacha gongo?asante , nishakamata mchemsho na nina tusker zangu 2 mezani nazitafuna taratiiibu huku nikikusubiri .
Utamuota sana Alberto Msando muulize Tundu Lissu anamjua vizuri na wewe karipoti kule fesibuk.
Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.
Badili chorus basi hadi watu wanasinzia.

Acha wivu wa kike
Sio uongo wewe ni underground ambaye huna kazi (jobless) mbowe na slaa wanakutumia kwa payrol ya 300000 kwa mwezi
Ni tune. chanel gani. makanda?
Mkuu najua ben aana wafuasi wake, juzi si mlikujaa pale mahakaman kawapa bei gan?
Unaweza kuthibitisha haya.Acha ujinga huu hapa
Yericko Nyerere asipotupia update hii taarifa ya chadema kwa vyombo vya habari haitanoga kwa kweli, nasubiri ile mipasho yake ya kwenye update..
Kitila na mwigamba wameshavuliwa uanachama. Marando amerudisha kadi
sio kwa mwanaccm tu kwa mtu yeyote yule anayeargue na mwenzake
Hata mimi kiukweli sikujui mkuu na ninapata complimentary ya magazeti ya serikali plus Mwananchi na The Citizen kila siku.
Acha ukisebengo