Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Sixgates umenichekesha sana asb hii ati nyuzi joto 26 duu Yerricko kwa mipasho kiboko! Mi nilimuuliza swali hivi Yerricko unamchukia ZZK kwa haya mnayomtuhumu au kuna lingine hajajibu akaingia mitini!

Maana sasa Kama Nswima Ernest wa RTD ya zamani....ya kwake Musoma yamemshinda kabisa huyu kijana! Hizi siasa tu ndugu yangu kuna maisha zaidi ya siasa

Mkuu Yericko Nyerere na Ben Saanane ni taasisi ina katiba inaa na ofisi, inapokea ruzuku kutoka ufipa, walikuwa na nguzvu kumzid makamu mwenyekiti mzee Arfi. Juzi hii taasisi nimeiona pale mahakamani ikabidi nikae kando..
 
Last edited by a moderator:
Wachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?

Wangekuwa hawana Ushawishi Msingekuwa mnakesha hapa JF kuwasema.Sidhani kuna mtu anaweza kuongelea habari za Wakwere,Wazaramo,waha na Makabila ya aina hiyo maana hayafahamiki kwa Watanzania walio wengi.
 
Hii antivirus software ya CDM ya sasa kiboko, hata Kaspersky haioni ndani... Zitto et al tupa kule...
 
wakuu inafaa tamko litolewe na ben saanane na yeriko nyerere hii misukule mbowe ya mbowe kwenye ishu za kuuza sura kwenye tv na magazeti inapotezewa sana. yenyewe kazi yao ni nyuma ya keyboard tu. tunataka tuione mana wengine hatuwajui kabisa

Acha kusoma magazeti ya Udaku.Punguza hasira
 
Wangekuwa hawana Ushawishi Msingekuwa mnakesha hapa JF kuwasema.Sidhani kuna mtu anaweza kuongelea habari za Wakwere,Wazaramo,waha na Makabila ya aina hiyo maana hayafahamiki kwa Watanzania walio wengi.
kuanza kuongelea masuala ya ukanda na ukabila ni kushindwa kutoa ushawishi wako katika hoja ya msingi
 
Marando hawezi kutoka hadi kazi aliyotumwa aimalize! So far so good anafanya kazi vizuri! Ameweza kukijenga ndani ya chama na anaaminiwa sana!

Huyu atakuwa wa mwisho kuondoka na tayari CDM kitakuwa hakipo! Kazi nzuri Marando keep it up!
Ha ha haa leo amekuwa Marando sio Zitto tena nawahurumia sana B7 kwa jinsi mnavyohangaika na maiti mgongoni.
 
Wachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?
Ushawishi wa ujambazi,utapeli na ukabila
Ukisoma historia ya tanzania vizuri matapeli ya uchagani hayana historia ya ushijaa ndo maana wanaume wao watawala walikaa sana na kuwatesa kwa kuwatawala kwa sababu ni mapoyoyo
 
Mkuu unajua unaweza kuepuka madhara yatokanayo na wivu ,hofu na chuki kwa kutosoma post zake?Maana kinyume na hapo utaendelea kupata "madhara yasiyotibika"(using Albert Msando's tone!)

Utamuota sana Alberto Msando muulize Tundu Lissu anamjua vizuri na wewe karipoti kule fesibuk.
 
Ha ha haa leo amekuwa Marando sio Zitto tena nawahurumia sana B7 kwa jinsi mnavyohangaika na maiti mgongoni.

Mkuu ni kweli kabisa, kile chama wapiganaji wanahesabika wengine wapo kwa kazi maalumu..
 
Na mwenu mushangilia chama cha kaskazini?mnaputwe jamani,acheni chama kivena ukabila

kaka bahati nzuri nangu nalimala, mniikala ku-arusha miaka mitatu yaani acha chama ikevele tu kwamba cha kaskazin hata udini chiniva nacho, yaani apala iaa vachitendela kampeni mulikanisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom