President..!!

President..!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
yes president...!!!
 

Attachments

  • download_(41).jpg
    download_(41).jpg
    78 KB · Views: 1,203
ndio kilichompeleka?
Hadi akimaliza mda wake atakuwa na kabati kubwaaaaaa la picha
 
Yuko na vitoto vimevalishwa Jezi ya Sunderland???
 
8E9U4121.JPG
nilidhani angekatisha ziara hii kwa msiba uliotokea Arusha kumbe....
 
download (43).jpg hawa wazungu bwana, ndio maana wanatuelewa in and out!
 
KWa mbinu hii, Taifa Stars itaingia 2018 Kombe la Dunia. Maana alikileta hii mbinu hapa Tanzania gooooo itafanikiwa tena sana sana, Lazima Ivory Cost wakae 2018. Hongera Raisi, Good Initiative!
 
huyu baba ananichoshaga akili jamani! sijui lini atatoka madarakani. kila akienda safari lazma nyumbani patokee majanga. sijawahi kuona mwaka uko mbali kama 2015. siku haziendi kabisa ili tumwondoe huyu jamaa.
 
Hivi marais wanaokujaga hapa kwetu na wao hushangaa hivi?
 
He love kids, we all love kids. Hawezi kwenda nje bila kutembelea watoto...! Congrats Mr. President..!
 
amewashtukia mnatakaga kuharibia kutalii sasa hivi hata mkifa mkoa mzima mpaka amalize.
 
Wadau niulize hii ni ziara ya kikazi ua matembezi?
Kama ya kikazi dah...................
Kama matembezi, kwani huyu amemaliza mbuga za kwetu?
 
Back
Top Bottom