"Msiache mbachao kwa mswala upitao"
Hata hivyo ni vyema kuwe na ushindani wa kibiashara kwa namna hii ili kuboresa huduma kwa watumiaji...
Ilipaswa yawepo tena mshirika mengine kama mawili zaidi ili kuwe na uchaguzi mbalimbali kwa wasafiri...
Please advise on the best way forward...hili ni shirika la wazawa 100% lina manufaa makubwa kiuchumi kuliko fastjet..itakuwa ngumu kufanikiwa kiuchumi kama tunashangilia vya nje na vyetu iknakufa!Aisee kama wewe ni msafiri kati ya JNIA (Dar) na ama Kilimanjaro (KIA) au Mwanza (Kwa Mbeya PW ameshachemsha na haendi tena).
Utakuwa ume-note jinsi hawa Precision (PW) wanavyopelekwa mputa mputa na Fastjet yaani kuna wakati inabidi safari ya saa 1 asubuhi abiria wahamishiwa ndege ya jioni.
Kiukweli mimi kama si safari ya kulipiwa na ofisi (serikalini) chaguo langu ni Fastjet kwanza wako on-time (Kuondoka na kufika) kwa wakati tofauti na PW.
Fastjet pelekeni ndege Nairobi & Entebe muwamalize PW & KQ wanatulangua sana.
Hapo kwenye bei umenena ni mara mia washushe bei ndege ziwe zinajaa kuliko bei kubwa afu abilia 10 ni hasara kubwa. Kusema ukweli fastjet imekuwa ni ndege ya maskini for sure am telling you sasa hivi abiria wa mabasi mwanza -dar wengi wanapanda fastjet. Na nafikiri waachane na kutoa huduma za vinywaji na chakula sababu ni hasara kwao. Huwa sioni umaana wa mtu kuwa na safari fupi ya saa moja tu afu unywe sijui ule ni taabu tuTusifurahie kuanguka kwa PA kwanza ni kampuni ya kizalendo , na tukumbuke ilikotutoa imekua kampuni pekee ya Kitanzania kutoa huduma wakati kukiwa hakuna ATC wala Fastjet.
Ni kweli biashara kwa PA siyo nzuri kwa sasa ,nimepanda hiyo ndege Mara 2 kutokea Nairobi kuja Dar kupitia Zbr na kutoka Dar - Arusha Abiria Tulikua wachache sana , hii kwa kweli iliniuma sana na sii jambo la kufurahia kwa Mtu anaejua mbinu za Biashara. Fastjet wanaweza Kushusha nauli na kuboresha sana Huduma kwa sababu PA ipo lkn pia wanaweza kupunguza Nauli kwa nia ya kuiangusha PA na then ikishaanguka wakavuna hela watakavyo na wote wanaoshangilia hawataamini!
Tuwashauri PA mambo ya kufanya ili tuendelee kua nao, mimi nadhani PA wanaweza
1. Kushusha nauli na hata kutumia shilingi ili kuweka nidhamu kwenye soko la tanzania , maana kama nilivyosema ndege zinasafiri zikiwa na Abiria wachache sana , aghalabu kwa siku nilizosafiria.
2. Bado kuna maeneo Mengi sana hayana root za ndege , ndani na nje ya Tanzania, mf. Nilitaka kwenda Kongo ,Zambia , Zimbabwe Hakuna ndege ya moja kwa moja kutokea Tz . Ni safari yenye mzunguko Mkubwa yaani ukitaka kwenda Zambia unaweza kulazimika kwenda kwanza Nairobi au Ethiopia ambako ndiko utapata ndege ya kwenda nchi ambazo ziko Jirani na tanzania!
Hii ina maana bado soko ni kubwa. Root zikiwa nyingi ushindani utapungua . Lkn naomba PA wasiwaachie Fastjet watambe kwenye bei kamwe!
Asante.
Si bure wewe una bifu na fastjet
Subiri sredi ya wapanda punda labda utapata cha kuchangia...
unafikiri kwanini gvt yetu haiipatii msaada Precision?
Yaani Precision wanaeleka shimoni pamoja na kuwa bailed out na KQ bado wana shughuli pevu mbele ya FASTJET labda Precision waanzishe route kwenye mikoa ambayo wana viwanja vidogo vya ndege (SUMBAWANGA, TABORA, KIGOMA, BUKOBA, LINDI etc.) ambapo AIRBUS za FASTJET haziwezi kutua. Vinginevyo PW waanzishe kampuni ya Mabasi DAR-MORO.
Labda wamrudishe Kioko.........huyu mama aliyepo PW imemshinda kabisa. Hata bia aliziondoa inflight kwa sababu ya imani yake!
Labda wamrudishe Kioko.........huyu mama aliyepo PW imemshinda kabisa. Hata bia aliziondoa inflight kwa sababu ya imani yake!
Tusifurahie kuanguka kwa PA kwanza ni kampuni ya kizalendo , na tukumbuke ilikotutoa imekua kampuni pekee ya Kitanzania kutoa huduma wakati kukiwa hakuna ATC wala Fastjet.