Precision Air wanatia huruma

Precision Air wanatia huruma

hivi wanaotumia ATC kwa safari za ndani zikoje na ni zipi destinations zao?
 
Am sio mpenzi wa PW, lakini hili si jambo la kufurahia sana, afya ya biashara ni uwepo wa mshindani sasa PW akifa atabaki Fastjet ame monopolize soko. Hapo ndo unaweza kuona yaliyojificha nyuma ya fastjet and trust me inaweza kuja kuwa hali mbaya sana.
 
Precision mwaka huu hapindui mbele ya fastjet maana ukiiona nyomi ya Mwanza na Kilimanjaro zinavyopanda FASTJET unaweza usiamini kuwa ni hawa hawa watanzania waliokuwa wanaishia kwenye SUPER NAJMUNISA EXPRESS (DAR - MWANZA) na CHAKITO LONG WAY (DAR - ARUSHA). Asanteni Fastjet mmetutoa kimaso maso.
 
Hivi nauli halisi ya dar mwanza na fast jet shingapi..
 
Fastjet nataka iende na Kenya maana KQ wanatuumiza sana
 
KQ wanatuumiza kupita maelezo yaani kwenda tu Nairobi na kurudi kama huna 433 USD (Return) kapande SPIDER BUS urushwe rushwe siku nzima & mubebe bange pale ofisini kwao Mianzini Arusha ( kitu cha Arusha) ndo uione Nairobi na wakati wa kurudi mtasimama vituo vyote kushusha na kubeba miraa (mirungi)
 
Fast jet nayo itakuwa kama precision mbelen. Last time i checked.. Wana operate under losses.

Alitalia tangu miaka ya 90 wana-operate under losses. Issue sio hasara, bali what is your business strategy! Btw: Kila business - a business worth it's name that is - huanza na operating losses before breaking-even.
 
Fastjet is cheap because they know there is Precision air and Air TZ. The moment these competitors collapse, the possibility of hiking the price of tickets will be high.
 
huu ni wakati wa fast jet.....presicion nyuma walikuwaje kuna vitu vingI hamjaelewa bado fast jet ina kuwa supported na serikali hii.presicion nayo nyuma ilikuwa hivyo hivyo.....kwa huu ni wakati wa fast jet
 
Fastjet is cheap because they know there is Precision air and Air TZ. The moment these competitors collapse, the possibility of hiking the price of tickets will be high.

kingine serikali haitaki kabisa kuirudisha atc kwenye reli najya sababu inajulikana.....
 
Aisee kama wewe ni msafiri kati ya JNIA (Dar) na ama Kilimanjaro (KIA) au Mwanza (Kwa Mbeya PW ameshachemsha na haendi tena).

Utakuwa ume-note jinsi hawa Precision (PW) wanavyopelekwa mputa mputa na Fastjet yaani kuna wakati inabidi safari ya saa 1 asubuhi abiria wahamishiwa ndege ya jioni.

Kiukweli mimi kama si safari ya kulipiwa na ofisi (serikalini) chaguo langu ni Fastjet kwanza wako on-time (Kuondoka na kufika) kwa wakati tofauti na PW.

Fastjet pelekeni ndege Nairobi & Entebe muwamalize PW & KQ wanatulangua sana.
si bure umetumwa...sales people banah :wof:
 
Unaweza fitna za KQ?? Mtaambiwa ndege zenu mbovu, hamruhusiwi kupeleka kenya
 
Jamani mwenye taarifa kama kuna ndege ya KAHAMA nitashukuru kama nitapata na bei ya nauli yake. Asanteni.
 
PW lazima wachemshe walishawahi kula 450,000 DAR-ARUSHA-DAR kupitia ZNZ roho iliniuma sana aisee
 
PW wakitaka wafanikiwe kwa hili wapunguze nauli na kuondoa zile juice & biskuti za azam kwenye safari isiyozidi saa 1 (DAR-JRO), pia watoze nauli kwa TSHS sio USD
 
Back
Top Bottom