misoza Gete
Member
- Sep 28, 2012
- 57
- 20
Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.
Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app