Prayers Request: Teamo and his family

WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!

IT'S SO PAINFUL!

nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now
Gosh..
Kitafanyika kitu kweli huko?
Angalia usije ukacalculate vibaya strength za beams za daraja na kulifanya liporomoke!.
 
WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!

IT'S SO PAINFUL!

nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now

Teamo usipate pressuere that happen don't worry everything will be alright
 
teamo usipate pressuere that happen don't worry everything will be alright
mkuu hiyo ni hali ya kawaida tuu! Nimepita huko najua unavyojisikia but Mungu mkubwa na matumaini yote ni kwake!
 
Mungu atamsaidia atajifungua salama bila tatizo lolote tena mtoto wa kike
 
Shhhhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiii! Babu is praying............

AMEN!
 
Pole yake mama mtarajiwa,Mungu yupo pamoja naye atafanikiwa.Tunamwombea a quick,safe delivery!
 
WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!

IT'S SO PAINFUL!

nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now

Pole sana,
stay strong, all shall be well.....God bless
 
Back
Top Bottom