Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
4,056
8,532
Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.

Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.

Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.

Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.

Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.

Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.

Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.

Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.


Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
 
Hivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hahaha..

Watu Wa JF wanachai nyingi,Umakini unahitajika zaiidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii sio chai, Dada sasa yupo kwao mikoa ya nyanda za juu kusini alienda salimia kwako, anadai nimtumie nauli apitie kwangu siku mbili tatu ndo aingie kwa mmewe
 

Attachments

  • IMG_20190201_111514_741.JPG
    IMG_20190201_111514_741.JPG
    25.3 KB · Views: 87
Bado hujafuta maumivu na isitoshe rafiki yako hajui kama umemgongea mkewe,ukitaka naye aumie kama ulivyoumia mtumie picha za mkewe unamtafuna na screen shot za messages umwambie hivi Malipo ni hapa hapa duniani Msenge mkubwa sitaki tena urafiki na wewe!
 
Yaani mkuu ulimkosea sana kumla kimya kimya. Ungefanya kumpa ili na jamaa ajue kua umemla kam aliyokulia mpenz wako. Hapo kwake haina maumivu yoyote coz hakujua chochote
No namtunzia heshima tu huyu binti sikutaka na wala sitaki muharibia ndoa yangu, kikubwa nilichokuwa nakitaka Mimi nikumgongea tu ili nami nafsi yangu iridhike
 
Yaani hapo mtoa mada imekula kwako. Wenzako walikulana kwa raha zao ila wewe unamkula mke wa classmate wako ili kulipa kisasi sio kwa raha. Kisasi siku zote umuumiza mtu anayekitunza kuliko mtendewa wa kisasi. Pole sana kwa unayoyafanya unaumia wewe tu
 
Bado hujafuta maumivu na isitoshe rafiki yako hajui kama umemgongea mkewe,ukitaka naye aumie kama ulivyoumia mtumie picha za mkewe unamtafuna na screen shot za messages umwambie hivi Malipo ni hapa hapa duniani Msenge mkubwa sitaki tena urafiki na wewe!
Aise lengo lilikuwa hilo lakini roho ya huruma juu ya huyu binti imeniingia kwamba nisimuharibie. Na jamaa kutwa kumpost mke wake km mc pilipili anavyofanya na caption nyingi asante mungu kwa kunipatia mke mwema na bla bla nyingi, right angejua huku nyuma ya pazia,hakika nikiamua nijibu makonde aliyonipiga dunia hii kwake ataiona chungu kwl kwl.
 
Yaani hapo mtoa mada imekula kwako. Wenzako walikulana kwa raha zao ila wewe unamkula mke wa classmate wako ili kulipa kisasi sio kwa raha. Kisasi siku zote umuumiza mtu anayekitunza kuliko mtendewa wa kisasi. Pole sana kwa unayoyafanya unaumia wewe tu
Hapana yy alishapoa ila jamaa akija kufahamu atayajua maumivu aliyompaga mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise lengo lilikuwa hilo lakini roho ya huruma juu ya huyu binti imeniingia kwamba nisimuharibie. Na jamaa kutwa kumpost mke wake km mc pilipili anavyofanya na caption nyingi asante mungu kwa kunipatia mke mwema na bla bla nyingi, right angejua huku nyuma ya pazia,hakika nikiamua nijibu makonde aliyonipiga dunia hii kwake ataiona chungu kwl kwl.
Mkuu huruma alikuwa nayo alipombato mchumba wako?inafikia muda kutolipiza ubaya wa makusudi ni usaliti!mtumie picha za mkewe na screen shots afu muulize nlichokuambia!Huruma ilimponza panzi!
 
Kisasi Si Juu Yako,mwachie Mungu, Huto Jutia,the Best Revenge Is Massive Success, ,,, Kama Hela Ipo Wasaidie Wahitaji, Wajane Na Mayatima,,,," Jamaa Akija Kukukamata Hakuna Atakayekuwa Upande Wako,. Play Safely , Take Care,
 
Back
Top Bottom