Prayer is an act of doubt, not faith

Prayer is an act of doubt, not faith

Tangu niache kwenda kanisani na kuachana na imani za kidini sijaona tofauti sana kwenye maisha yangu zaidi ya neema kuniongezekea. BTW Ndoto nilizokuwa naota usiku bado ni zile zile. Sioni kitu cha ajabu
 
Una uthibitisho gani mimi ni kijana?

Jibu hoja acha viroja.

Nakwambia hivi, Maombi ni kitendo cha mashaka kudhani kwamba mambo yako hayako sawa kwamba kuna Mungu wa kurekebisha mambo yako kupitia sala zako.
Siwezi kubishana na wewe,unakiburi Cha uzima,na mafanikio uliyoyapata amini unachoamini na maisha yaendelee
 
Kiburi ni nini?

Unaweza kuthibitisha kwamba nina kiburi?
Peace brother,Mambo ya Imani ni magum Sana tukianza kuzungumzia hatuwezi maliza,watu wanaenda kwenye miungu yao wanaomba wanafanikiwa,watu wanaenda kanisani,msikitini wanaomba dua wanafanikiwa,wapo ambao hawaombi kabisa na wanafanikiwa,Je! Makundi hayo utawezaje kuyashawishi kuwa njia nyingine ni sawa? So hizi Mambo ni kuziacha tu ndo Mana sioni ata sababu ya kuzungumzia,I mean no offense kwa namna yoyote niliyozungumzia
 
Kiuhalisia Mungu ni nadharia inayoishi kichwani kwa kwa alie amini tu ila katika hali ya kwel hayupo na hata kaa awepo ,ila vichwani kwa watu yupo na ukajenga imani yako kwenye hili universe inakuletea kama unavyotaka.
 
Mungu ni roho. Sorry bro, roho ni nini?
Mungu siyo roho bali ni Roho.
roho na Roho ni vitu viwili tofauti. roho ni pumzi ya uhai, wakati Roho ni nafsi ya tatu ya Mungu kwa sababu yeye ana nafsi tatu. kwa hiyo roho ni pumzi ya uhai uliyowekewa wewe kwenye mwili wako wakati Roho ni Mungu

Vinginevyo watu hupenda kusema ulimwengu wa roho, wakimaanisha ulimwengu wa vitu visivyoonekana
 
Halafu chief hili suala unalishadadia tu na unajua haliwezekani kwa kitu chochote kile achana na haya unayoita ya kufikirika.

Kutokana na kanuni kama za Relativity, Heinsenberg uncertainty principle au hata na Godels incompletenes theorem;

Ni haiwezekaniki kuwepo na uthibitisho kamilifu wa kitu. Unaweza tu kuwa vithibiti kiasi ambavyo vinatosha (good enough) halafu nafasi nyingine utajazia kwa kuwa na imani (faith) kwamba: 'kutokana na ninaYOYAJUA (hapa utakutana na wale wanauliza can you really 'know sth!?' mpaka sasa, na ushahidi uliopo hadi sasa NINAAMINI palipobaki ni kweli ipo vile au hivi nukta.

Imani ni lazima
Emperically yes but spritually no!
Vithibitisho vya kiroho vipo na kwa precision ya hali ya juu sana ambayo hata instruments ambazo unaziita kisayansi high precision instruments haziwezi ku-measure.

Emperical Sayansi (ES) na Spritual Science (SS) ni sayansi mbili tofauti ambazo kila moja inajitegemea. Huwezi ukatumoa ES kuelezea phenomena kwenye SS kwa sababu hata ES hajiasema kwamba ina majibu pia kwa SS

Ukishasoma ukachanganya madesa, ndiyo pale unapolazimisha ES ielezee kila kitu hata kwa vie ambavyo haiwezi kuelezea. Kama hauna idea yoyote kuhusiana na SS, lakini at the same time unakuwa umebobea kwenye ES, keep away from SS
 
Prayer is the most abused part of the Christian life today. Misguided understandings about prayer mess more people up spiritually than anything else out there!

nimenukuu kutoka kitabu cha A BETTER WAY TO PRAY
 
Faith is an act of doubt.

If you have proofs and evidences of existence of something you don't need to have faith.
You only can have sometimes (not all the time), proof by verification in the physical realm but not in the Spiritual one. Within the later, it is not uncommon to have a certain proof by yourself and without the means of verifying such a proof to the others. Unlike in the physical world, the process of verifying your proofs to others for the later is therefore highly compromised and so requires faith. This requirement is the one which once again, proves that the two sciences are not intertwinned in any way as they are auite different from one another
 
Emperically yes but spritually no!
Vithibitisho vya kiroho vipo na kwa precision ya hali ya juu sana ambayo hata instruments ambazo unaziita kisayansi high precision instruments haziwezi ku-measure.

Emperical Sayansi (ES) na Spritual Science (SS) ni sayansi mbili tofauti ambazo kila moja inajitegemea. Huwezi ukatumoa ES kuelezea phenomena kwenye SS kwa sababu hata ES hajiasema kwamba ina majibu pia kwa SS

Ukishasoma ukachanganya madesa, ndiyo pale unapolazimisha ES ielezee kila kitu hata kwa vie ambavyo haiwezi kuelezea. Kama hauna idea yoyote kuhusiana na SS, lakini at the same time unakuwa umebobea kwenye ES, keep away from SS
Exactly!!

Ndio maana mimi nikawa namwambia huyo mwamba aache kabisa mchezo wa kuomba uthibitisho. Kwa sababu hata huko kwenye sayansi yake anayoikomalia hakunaga kabisa kitu kinaitwa uthibitisho kamili🤕.

Na ulichosema kuhusu kuwepo uthibitisho kamili kiroho. Big Yes na unaona tayari imani ya muhusika inakuwa imeshahusika moja kwa moja! Imani ya muhusika huyo binafsi.

Kwa hiyo tukirudi kwa bwana Infropreneur kama unataka uthibitisho ni lazima wewe binafsi uwe na imani na hicho kitu iwe ni cha kisayansi au cha kimungu ni lazima imani ihusike. Uziamini facts na uzikubali wewe rohoni mwako. Bisha kwamba uthibitisho hauhitaji imani. Bisha?
 
You only can have sometimes (not all the time), proof by verification in the physical realm but not in the Spiritual one. Within the later, it is not uncommon to have a certain proof by yourself and without the means of verifying such a proof to the others. Unlike in the physical world, the process of verifying your proofs to others for the later is therefore highly compromised and so requires faith. This requirement is the one which once again, proves that the two sciences are not intertwinned in any way as they are auite different from one another
No amount of Beliefs or Faiths make something a Truth or a fact...

Without proofs and evidences, all things are imaginations just an illusion.

As long as you have faith in something, it doesn't mean that it's true.
 
Exactly!!

Ndio maana mimi nikawa namwambia huyo mwamba aache kabisa mchezo wa kuomba uthibitisho. Kwa sababu hata huko kwenye sayansi yake anayoikomalia hakunaga kabisa kitu kinaitwa uthibitisho kamili🤕.

Na ulichosema kuhusu kuwepo uthibitisho kamili kiroho. Big Yes na unaona tayari imani ya muhusika inakuwa imeshahusika moja kwa moja! Imani ya muhusika huyo binafsi.

Kwa hiyo tukirudi kwa bwana Infropreneur kama unataka uthibitisho ni lazima wewe binafsi uwe na imani na hicho kitu iwe ni cha kisayansi au cha kimungu ni lazima imani ihusike. Uziamini facts na uzikubali wewe rohoni mwako. Bisha kwamba uthibitisho hauhitaji imani. Bisha?
Ukishakuwa na uthibitisho wa kitu fulani, Huitaji tena kuwa na imani.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika ( doubts)

Uthibitisho Hauendani na imani, uthibitisho una endana na uwepo wa evidences za kuonekana.
 
Nakupa hiki kipande ni katika hisabati. Lakini ukiangalia ni katika kitu chochote tu. Huwezi kuthibitisha bila kutoka katika mfumo husika. Ukitoka utaangukia katika mfumo mwingine ambao nao sio kamili hence hakuna kitu kinaitwa uthibitisho hata uwe na hizo 'proof' na 'evidence' za namna gani.
Screenshot_20231023-151905_Chrome.jpg

Ikiwa wewe umejiaminisha kuwa kuna 'UTHIBITISHO' karibu tu kwenye mambo ya imani wewe sio mwanasayansi asiye na imani tena.
 
No amount of Beliefs or Faiths make something a Truth or a fact...

Without proofs and evidences, all things are imaginations just an illusion.

As long as you have faith in something, it doesn't mean that it's true.
No any emperical tool will provide proof in the spritual realm. Usichanganye hizi ni sayansi mbili tofuti, kila moja inajitegemea ikiwa na tools zake
 
Exactly!!

Ndio maana mimi nikawa namwambia huyo mwamba aache kabisa mchezo wa kuomba uthibitisho. Kwa sababu hata huko kwenye sayansi yake anayoikomalia hakunaga kabisa kitu kinaitwa uthibitisho kamili🤕.

Na ulichosema kuhusu kuwepo uthibitisho kamili kiroho. Big Yes na unaona tayari imani ya muhusika inakuwa imeshahusika moja kwa moja! Imani ya muhusika huyo binafsi.

Kwa hiyo tukirudi kwa bwana Infropreneur kama unataka uthibitisho ni lazima wewe binafsi uwe na imani na hicho kitu iwe ni cha kisayansi au cha kimungu ni lazima imani ihusike. Uziamini facts na uzikubali wewe rohoni mwako. Bisha kwamba uthibitisho hauhitaji imani. Bisha?
Tunapoongelea Spritual Sayansi, wao wanalete Emperical Sayansi. Huu ni usomi mfu
 
Back
Top Bottom