Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,679
- 4,420
Lakini ninakubaliana na mtoa mada kwa habari ya mtu kuomba sana na kukazia kwa makelele kuwa ni imani iliyo kiwango cha chini ukilinganisha na yule anayewish tu rohoni halafu akaamini ameshasikiwa akaendelea.
Ambacho sikubaliani nacho tu ni hayo mahitimisho ya kwamba kwanza Mungu mwenyewe hayupo. Hayo ndio hayana mantiki na kichwa cha somo.
Ambacho sikubaliani nacho tu ni hayo mahitimisho ya kwamba kwanza Mungu mwenyewe hayupo. Hayo ndio hayana mantiki na kichwa cha somo.