complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 482
- 1,438
Ogopa sana wafia dini, na usije kupoteza muda kuwaambia mnachokiamini hakipo.
Majibu yao ni mepesi mno, ni bora kuwaacha waendelee na dini na vitabu vilivyoletwa kwa msaada wa “mansoon winds” kupitia missionary na arabs
Cha msingi watoto wetu wapate elimu bora na sio bora elimu kupunguza au kufuta hii nadharia ya kutegemea maombi na mungu na kuacha kuumiza akili kutafuta soln ya changamoto zinazozidi kutuandama kila kukicha