IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,741
- 8,185
...hiyo sheria mbona haijafafanua hiyo 33.3% itaanza kulipwa lini kwa MTU aliyepoteza ajiraSawa poyoyo mkubwa....
Sheria haionyeshi baada ya miezi 18 malipo utayapataje na umeisoma vema kabisa hiyo sheria?
Halafu manager wa kanda hajui jibu la kukupa kijana poyoyo mkubwa?
Ama kweli maajabu hayaishi nchi hii.
Na wazee mafao yao amekujibu nini tena?
View attachment 975507
...au ndio mwendo wa njoo kesho na kupigwa kalenda plus usumbufu