PPF/PSSSF tukutane kuzimu!

PPF/PSSSF tukutane kuzimu!

Nisome Mara ngapi? Ww uliyeisoma na umeona kuna kitu muhimu sana sisi hatujakiona ni kipi?
Hao ndo waajiriwa wenyewe wa hio mifuko, lazima atetee kibarua chake.
Isingekuwa TCRA ningempa la kufunga na kufungua mwaka!
 
Ilikuwa nianze kumtusi huyo uliyemtetea ila nimeona bora nianze nawe, acha upoyoyo. Sio kusoma bali hata maelezo ya ufafanuzi tumeyafuata kwa Manager wa Kanda. Manager wa kanda ukimuuliza baada ya hayo malipo ya % 33 kwa miezi sita kukoma na kusubiri miezi 18 kipi kinaendelea hajui. Yet unakuja hapa kuongea kama ..........
Huyo hana tofauti na kuruta hawezi mwongelea vibaya bwana jela..hapo atakupa moyo si hiyo ela iliyobaki si tutakulipa mshahara hadi ufe imagine unapewa flat rate miaka 7 wakati pamoja na kushuka au kupanda kwa shillingi..ila waache tu kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho
 
Ilikuwa nianze kumtusi huyo uliyemtetea ila nimeona bora nianze nawe, acha upoyoyo. Sio kusoma bali hata maelezo ya ufafanuzi tumeyafuata kwa Manager wa Kanda. Manager wa kanda ukimuuliza baada ya hayo malipo ya % 33 kwa miezi sita kukoma na kusubiri miezi 18 kipi kinaendelea hajui. Yet unakuja hapa kuongea kama ..........
Sawa poyoyo mkubwa....
Sheria haionyeshi baada ya miezi 18 malipo utayapataje na umeisoma vema kabisa hiyo sheria?
Halafu manager wa kanda hajui jibu la kukupa kijana poyoyo mkubwa?
Ama kweli maajabu hayaishi nchi hii.
Na wazee mafao yao amekujibu nini tena?

Screenshot_20181223-174958.jpeg
 
Sawa poyoyo mkubwa....
Sheria haionyeshi baada ya miezi 18 malipo utayapataje na umeisoma vema kabisa hiyo sheria?
Halafu manager wa kanda hajui jibu la kukupa kijana poyoyo mkubwa?
Ama kweli maajabu hayaishi nchi hii.
Na wazee mafao yao amekujibu nini tena?

View attachment 975507
Poyoyo, mfuko wa hiari ni upi? Jibu hapo kwanza labda wewe waweza kuwa Manager wa mkoa hujampa maelekezo kiongoz/ mzigo wako wa pale Ubungo.
 
Na kwa kukusaidia taarifa tu ni kwamba pamoja na kutaka vielelezo lukuki kufungua madai mpaka mahakamani wanakupeleka pesa zenyewe hawalipi kwa wakati! Nina jaama walikuwa waingiziwe pesa kwenye ac. toka tar.10 hadi leo hamna kitu. Wamerudi pale wameambiwa wasubir hadi tar 28. Nitakujia humu na ushahid ukitaka. Poyoyo mkubwa we!
 
Pole Sana poyoyo mkubwa, kumbe hata hujui kuwa kuna mfuko wa hiyari na mfuko wa lazima kwa mujibu wa sheria....
Mfuko wa hiyari kiwango cha mchango unaamua wewe mchangiaji. Mfuko huo unakuruhusu wewe kutoa michango yako wakati wowote ukiona inafaa, zamani kabla ya hii sheria ya kuunganisha mifuko, ppf na lapf walikuwa na huu mfuko.
Hebu pata muda uende tena hapo kwa manager ukajuzwe mengi zaidi au fungua website usome vema juu ya mifuko ya jamii.
Narudia kukupa pole mtanzania mwenzangu, halafu hata manager nae ni mstaafu tarajali hivyo sheria ikiwa kandamizi hata yeye ataumia kama mtumishi wa umma.
Soma na pale panapohusu wastaafu kisha fanya uchunguzi mdogo kutoka kwa wanufaika ambao ni wazee kisha kuwa mwaminifu uje na majibu hapa.
 
Usipanic poyoyo mkubwa.....
Tumia sheria hiyo vizuri kupata haki yako mtukufu poyoyo.
 
Na kwa kukusaidia taarifa tu ni kwamba pamoja na kutaka vielelezo lukuki kufungua madai mpaka mahakamani wanakupeleka pesa zenyewe hawalipi kwa wakati! Nina jaama walikuwa waingiziwe pesa kwenye ac. toka tar.10 hadi leo hamna kitu. Wamerudi pale wameambiwa wasubir hadi tar 28. Nitakujia humu na ushahid ukitaka. Poyoyo mkubwa we!
Kwahiyo ni sheria mpya ndio inawafanya wakupeleke mahakamani na kukucheleweshea madai halali?
Kuna Jambo haliko Sawa mahali.
Tuijadili sheria na sio utendaji usio na tija wa watendaji.
 
Pole Sana poyoyo mkubwa, kumbe hata hujui kuwa kuna mfuko wa hiyari na mfuko wa lazima kwa mujibu wa sheria....
Mfuko wa hiyari kiwango cha mchango unaamua wewe mchangiaji. Mfuko huo unakuruhusu wewe kutoa michango yako wakati wowote ukiona inafaa, zamani kabla ya hii sheria ya kuunganisha mifuko, ppf na lapf walikuwa na huu mfuko.
Hebu pata muda uende tena hapo kwa manager ukajuzwe mengi zaidi au fungua website usome vema juu ya mifuko ya jamii.
Narudia kukupa pole mtanzania mwenzangu, halafu hata manager nae ni mstaafu tarajali hivyo sheria ikiwa kandamizi hata yeye ataumia kama mtumishi wa umma.
Soma na pale panapohusu wastaafu kisha fanya uchunguzi mdogo kutoka kwa wanufaika ambao ni wazee kisha kuwa mwaminifu uje na majibu hapa.
Ama kweli wewe ni poyoyo, mfuko upi wa hiari ilhali mmeifuta yote na kubakiza miwili? Nijuze unaitwaje na ofisi zao ziko wapi au hata address zao kwa manufaa ya ma poyoyo ka mie. Au wamaanisha mfuko wa NHIF?
 
Kwahiyo ni sheria mpya ndio inawafanya wakupeleke mahakamani na kukucheleweshea madai halali?
Kuna Jambo haliko Sawa mahali.
Tuijadili sheria na sio utendaji usio na tija wa watendaji.
Unajua viambata vinavyohitajika kufungua fao la kukosa ajira? Nina shaka na uelewa wako kwenye suala hili Chief poyoyo.
 
Ama kweli wewe ni poyoyo, mfuko upi wa hiari ilhali mmeifuta yote na kubakiza miwili? Nijuze unaitwaje na ofisi zao ziko wapi au hata address zao kwa manufaa ya ma poyoyo ka mie. Au wamaanisha mfuko wa NHIF?
Oooohh kumbe!!!!
Sio mfuko mpya ndugu poyoyo mkubwa namaanisha ni fao la hiyari ndugu poyoyo.
Fao hili halimuhusu muajiriwa Tu Bali hata aliejiajiri anaweza fanya option ya kujiunga na hili fao ndani ya mfuko aliopo
Hapo awali ppf na lapf walikuwa na hayo mafao ya kujiunga kwa hiyari, hata sasa psssf wanayo hiyo option
Hapo wanapokuelekeza hivyo kisheria wanamaanisha unahamisha mafao kutoka kwenye regular contribution kwenda huko kwa hiyari ambako ni irregular
 
Unajua viambata vinavyohitajika kufungua fao la kukosa ajira? Nina shaka na uelewa wako kwenye suala hili Chief poyoyo.
Sasa poyoyo mkubwa wewe ulitaka ulipwe bila viambata?
Kwahiyo tatizo ni sheria au viambata?
Poyoyo mkubwa hebu tujikite katika kuijadili sheria na mapungufu yake na sio hizi mbwembwe hapa
 
Kuna stori moja alinisimulia babu yangu wakati wanafuatilia mafao ya afrika mashariki.
Alinisimulia kuna rafikie alikuwa anageuza njiani kwa kuuliza wamesemaje ukimjibu wamesema mpaka juma nne basi na yeye anageuza njiani badala ya kufika ofisi husika kupokea majibu yanayomhusu yeye.
Mtoa mada kwenye ofisi za umma kila mtu anajibiwa kwa kesi tofauti na sio wote.
Usilete mada jumuishi wakati kila mtu anahudumiwa kivyake.
Acha uongo
 
Kusema wafanyazi wanaichukia NSSF na PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...

PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu.

Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo.

Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao??!!! SITAKI. Wengi wa wafanyazi mnaowababaisha na hizo lousy kanuni ni malofa. Hawataki kanuni. Wanataka pesa zao zote. Period.
Yaani hata laki moja unawekewa mashati lukuki kuipata. Kwa kweli adui mkubwa kwa watz kwa sasa ni hawa jamaa.

Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.

Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.

Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.

Hivi Serikali ipo? Kweli hii regime haijali wafanyazi ndio maana imeweka such a lousy minister kama Jenister Mhagama + blabla za "Kaa simu Hajaliwa"

What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions.
Acheni kulalama kila siku, unachotakiwa kujua tu ni kuwa tuko pazuri na utembee kifua mbele. Baaaaaas
 
Sasa poyoyo mkubwa wewe ulitaka ulipwe bila viambata?
Kwahiyo tatizo ni sheria au viambata?
Poyoyo mkubwa hebu tujikite katika kuijadili sheria na mapungufu yake na sio hizi mbwembwe hapa
Ama kweli wewe ni poyoyo. Unataka tujaze ukrasa hapa kujadili kitu kilicho wazi! Mtu ukiamua kujiajiri beba mzigo wako maisha yaendelee. Mtu unamweka miezi sita ya kusubiri, then miezi miwili mpaka mitatu ya kuanza kumlipa %33. Halafu umweke mwaka na nusu aanze upya kuomba hela yake ulioifanyia biashara for more than ten yrs tena wamlipa bila riba. Hapo sijagusia wale 'wahanga'ambao nyie mnawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwaita "wanufaika" wa 25%!
 
namkumbuka mtikila nnauona umuhimu wa lisu hawa watu wangekuapo KESI ingekua mahakamani asaiv
Kuna mrithi wao anaitwa renatus mkinga yule anang'ata na kupiliza ila kichwani ni kama mtikila semabtuu yeye ni mwoga
 
Ama kweli wewe ni poyoyo. Unataka tujaze ukrasa hapa kujadili kitu kilicho wazi! Mtu ukiamua kujiajiri beba mzigo wako maisha yaendelee. Mtu unamweka miezi sita ya kusubiri, then miezi miwili mpaka mitatu ya kuanza kumlipa %33. Halafu umweke mwaka na nusu aanze upya kuomba hela yake ulioifanyia biashara for more than ten yrs tena wamlipa bila riba. Hapo sijagusia wale 'wahanga'ambao nyie mnawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwaita "wanufaika" wa 25%!
Acha uwongo poyoyo mkubwa
Aliechangia miaka 15 huyo hausiki na 33% natamani uisome hiyo sheria mpya kisha soma na ile ya zamani ndugu poyoyo the great......
 
Sawa poyoyo mkubwa....
Sheria haionyeshi baada ya miezi 18 malipo utayapataje na umeisoma vema kabisa hiyo sheria?
Halafu manager wa kanda hajui jibu la kukupa kijana poyoyo mkubwa?
Ama kweli maajabu hayaishi nchi hii.
Na wazee mafao yao amekujibu nini tena?

View attachment 975507
Baada ya miez 18 kuna fao la hiari,,wao wanadai baada ya miez 18 unaweza kuchukua pesa yako yote na ukaenda kufanya kile ulichokusudia ila unaweza kuwa unachangia kdogo kdogo kwa hiari yako unaweza usichangie pia maana ni hiara yako
 
Back
Top Bottom