Pozi la mamndenyi

Pozi la mamndenyi

amesahau habari za yule mnija aliyepoteza uhai baada ya wife zake wanne kudai game kwa wakati moja. kipindi hicho ameishahudumia mke mdogo, yaani wife namba 5.
MziziMkavu ana dawa bhana hii haiwezi mkuta! Lol...

Ila sijui kama Mamndenyi na FaizaFoxy wataiva kwenye chungu kimoja? Lol..:A S wink:
 
Last edited by a moderator:
Umechemsha! nadhani ulitaka kuandika hobby. Na hata sijui hapo inahusiana na nini, lugha za watu hizi jamani, si muandike Kiswahili tu.
FaizaFoxy amerudi asante kwa masahihisho bidada nobody is perfect
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa,
Sie hapa jamvini tupo zaidi ya kumi,
Ngoja tujipange akija bongo atoe huduma kwa wakati mmoja.
Hapa simtaji ili asije akashtuka.
amesahau habari za yule mnija aliyepoteza uhai baada ya wife zake wanne kudai game kwa wakati moja. kipindi hicho ameishahudumia mke mdogo, yaani wife namba 5.
 
Kumbe mamdenyi bado kijana?halafu umempakaza mbona mie namfahamu ni mweusi.
 
alikuwa kipotabo balaa, kwa enz zile alikuwa ni shiiiida!!!
 
FaizaFoxy amerudi asante kwa masahihisho bidada nobody is perfect

mshana umenikumbusha kesi moja na lecturere wangu! ni mama mtu mzima sana kiumri, sasa kuna siku jamaa kaandika miss XXX, badala ya madama XXX! huyo lecturer alisala mpaka akamkata score kwenye assignment! dadeki..

sasa nikuulize swali, una uhakika gani kuwa FaizaFoxy ni bidada ama bibibi? lol...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom