Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
Last edited by a moderator:
bora anti umesemamiss chagga ni anti yangu wa damu
hawezi penda hicho kitu.
Hahahaaaaa.... MziziMkavu hata wewe ...??
hilo limama ni jinga sijapata kuona...
bora anti umesema
acha kumtania anti yangu komaa kabisa tena koma
Wawili tu mshana jr na MziziMkavu
Wamekutana jukwaani
Labda kizani lakini huku upenuni ni mtakatifu mno
Hahahhaa huyu sio pipilo kweli
Mawaz yangu yameenda huk pia
Umekaona eeh?
Atakataaje kuwa mie siyo mke wa baba yake?