Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Yah
Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!
Asante sana Clouds - for the first time!

Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU