Power Breakfast (Clouds FM) wawapasha TANESCO!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Yah

Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!

Asante sana Clouds - for the first time!

Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU
 
Yah:

Alinifuhisha saaaaaaaaaanaaaa G. Hando pale aliposema .............Mnaendesha shirika kama la mama zenu...............
 
Hando huwa mzuri na wenzake wale ila kidoooogo JK alitaka kuwachakachua siku ya interview
 
Nimeshanga na sikuamini maneno yaliyokuwa yanamtoka Hando bila full stop, message sent and delivered.
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....
Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU
MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
 
kwakweli Tanesco wamezidi huwa hawaishi sababu. Sasahivi tuko kwenye mgao ambao hauna kichwa wala miguu. Na hiyo issue ya Network ndio inakera kuliko. Kwanini wasitafute suluhisho la network yao?
 
Magarasa sio Tanesco tu,hii nchi imeoza hao wanaojiita au kuitwa wasomi kwenye mashirika ya UMMA na Idara za serikali wengi wao ni Vihiyo na Vyeti vyo vya Magurioni,wananunua MASTER DEGREES hadi Tshs (10,000,000/=)Ten millions,kama unabisha just visit CBE na IFM.....what do you expect from these fools
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
 
hawana fedha tanesco fedha zilikwenda kwenye uchaguzizzzzzzzzzzzzzzz mtatia akiliiiiii mwaka huu mgao mapemaaaaaa
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.

Hivi ingekaa aje kama sehemu iliyo andikwa TANESCO ukabandika CCM?

Power breakfast hawana lolote maana hao hao ndio waliokuwa wakimsifia na kumpigia debe Kikwete na CCM yake wasijue kuwa ameshindwa kui turn around TANESCO liwe shirika lenye kuleta Tija kwa Wananchi.

Mi naona waliyosema, kama wamesema kweli (sikuwasikia) walikuwa wakiisema Serikali ya Kikwete ( chama cha Kikwete) ambao wanatawala nchi hii kwa mazoea ya kuhadaa wananchi na kuchakachua maamuzi yetu kwenye uchaguzi! Sasa chagua huyo Engineer Muha ni nani kati ya Kikwete na Makamba!
 
guys, tanesco inafanya matengenezo muhimu sana, nadhani baada ya muda mambo yatakuwa fresh sana, NO umeme wa mgao tena!
kwa hivo inabidi tuwe wapole kidogo kwa muda huu
 
Vuruga vunja imesha anza wizara ya ardhi, naomba baada ya ardhi ihamie TANESCO maana ni kitendo cha aibu sana mgao wa umeme kuanza baada ya uchaguzi, kwanini mgao haukuanza wakati wa kampeni?
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
 
Msilalame saaaan
hiyo ndiyo faida ya kuipigia kampeni ccm irudi kwa kishindo.
na bado maajabu zaidi yanakuja.
Fuel italeta vita nchini
 
Clouds FM waache upumbavu na unafiki wa kijinga, wanalalamikia tanesco ili hali wanaisifia serikali ya ccm? huyo injinia kawekwa na nani hapo? mbona tanesco iko safi sana ile,au kwa vile inahusika na umeme ambao unaonekana moja kwa moja na watu? mbona hawaongelei issue kama za poor public services like government hospitals ( muhimbili, mwananyamala, amana, to mention a few) The whole country is so hard by these cheap politicians! sera za ccm za kuwekana kwenye nafasi mbali mbali kwa misingi ya ushikaji na uswahiba ndio inatupelekea kuwa na issue kama hizi, tanesco is just the outcome, the root cause of these issues is poor government!
 
Kusema ukweli clouds wamenifurahisha sana.....Tanesco accountability ni zero!!!
 
Back
Top Bottom