Power bank kwa ajili ya laptop!?

Power bank kwa ajili ya laptop!?

nilikuwa najiuliza nitapata wapi kitu kama hii sasa hapa bongo zinapatikana wap au baso hazijafika
lakini hiyo bei nayo mh ! hatari
ni km laki nane hivihivi kibongobongo
lkn kwalaptop yangu 52000mah itasukuma siku km kweri specs zake ni true

huwezi zipata huku ndio zinatoka hivyo, hapo hadi uagizie au ununue online
 
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahisi hata bongo zitakuwepo the qn is where.

Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaji kbs laptop kuishiwa charge sababu ya umeme kukatika. Kwa yeyote anayejua zinakopatikana ani-update tafadhali!

Njia rahisi, assemble backup yako mwenyewe. Nunua battery kubwa (Lead-acid) na inverter
 
powerbank ya dell official kwa laptop
dell_power_companion_2-100673595-large.jpg


https://goo.gl/ljnm2J

mah 12,000 au 18,000. ni 6cell na output yake ni volt 19
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom