Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
are you serious?nunua battery ya gari labda, inategemea na aina ya processor utakayotumia kama una processor za core (i3/i5/i7) zenye nguvu na kutumia watts nyingi kitu kama power bank utakimaliza faster tu.
ila ukiwa na processor inayotumia watts chache kama core m au celeron na pentium za braswell au baytraail/cherry trail processor unaweza tumia power bank ila laptop hizi tayari zinakaa sana na chaji utakuta nyingi zinazidi masaa 10 ya ukaaji chaji