Bank Statement kwa ajili ya visa

lawyer himself

New Member
Jul 18, 2019
3
2
Habari zenu wakuu!

Kwa watu ambao mmewahi kusoma nchi za nje au ambao mmeshawahi kufatilia kuhusu haya mambo, ni dhahiri mnafahamu kuwa ili mtu upewe nafasi ya kusoma chuo cha nje lazima uwahakikishie unajiweza kifedha na unaweza fanya ivo kwa kuonesha bank statement yenye kiasi cha fedha fulani.

Bank statement mara nyingi except to the few huwa bank statement uwa watu wanaongopa ivyo basi ninakuja kwenu, nahitaji mniguide kwa ambao wameshapita uku au wanajua aya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua.

Ahsanteni.
 
nahitaji mniguide kwa ambao wameshapita uku au wanajua aya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua.

Tafuta mtu unayemjua mwenye uwezo kifedha ambaye kwenye akaunti yake kuna mpunga mzuri...

Then anaweza ji-commit kama mdhamini wako kwa dharura yoyote...

Ila njia nyingine mtu anaweza akapitisha pesa kwenye akaunti yako, ukimalizana na mambo ya visa, unamrejeshea mpunga wake...
 
Asante mkuu kwa ushauri.
 
Habari zenu wakuu!

Kwa watu ambao mmewahi kusoma nchi za nje au ambao mmeshawahi kufatilia kuhusu haya mambo, ni dhahiri mnafahamu kuwa ili mtu upewe nafasi ya kusoma chuo cha nje lazima uwahakikishie unajiweza kifedha na unaweza fanya ivo kwa kuonesha bank statement yenye kiasi cha fedha fulani.

Bank statement mara nyingi except to the few huwa bank statement uwa watu wanaongopa ivyo basi ninakuja kwenu, nahitaji mniguide kwa ambao wameshapita uku au wanajua aya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua.

Ahsanteni.
Pia ubalozi wowote ukiongea n'a afisa au mlinzi , wanakuwa n'a documents zote zinazohitajika n'a ubalozi husika

Jipange!!
 
NMB wana shida gani kwa hii menyu yao mpya ya NMB mobile katika kufanya sim banking?

Kwanini hakuna developing program kama ile ya awali waliyoitoa?

Mihamala miwili kwa wakati mmoja haiwezekani bila ya kuanza upya tena ukiwa ulishamaliza huduma 1.

Unaweza kukatwa pesa kwenye menyu ya simu bila ya mrejesho wowote wa ukamilisho wa huduma hata ukirudia mara 5.

Mnakwama wapi NMB?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom