Poverty Elimination in Tanzania is a 'Result Oriented Business'


Mkandara,
I have read the Vision 2025. It’s a good document to read in terms of identifying some major challenges that the country face today. However, I don’t consider it a vision, and I have already explained why.

Now with regard to the Declaration of Independence, I read it in school as an example of persuasive speech and rhetoric. It’s a living document which has inspired Americans from different backgrounds and people from other nations to rally support for their causes. It has stood the test of time and generations, and it’s still relevance to this day.

What makes this document great is its inspirational message which you can’t find in our existing documents, whether it be katiba, Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, or Vision 2025. The Declaration of Independence doesn’t talk anything about money, income inequality, or positioning America to its current status. It only gives people hopes and the sense of belonging. If this is what you call DIRA, then we are on the same page.

Personally, I believe if you give people hope and freedom instead of instructions, you would unlock their potentials.
 
Jmushi1,

Thanks for clearing that up. I thought you are still dwelling on colonial issues, and use them as an execuse.
Mkuu, msimamo wangu ni kwamba, sizi exclude excuses entirely, na bado vile vile sizisapoti.

On the other hand, ninaamini hatuna viongozi waliojitolea muhanga kwa maslahi ya Taifa, tuna just "puppets".

Huo ndo msimamo wangu, siko upande wa wale wanaodai eti tunatumia "colonialism excuses", ie wewe unayedai still tuna "dwell on colonial issues", pia vile vile, siko upande wa wale wanatoa excuses, kwasababu failure yao viongozi tulionao, haiitaji excuses, bali accountability, with the first step, which ni kuachia wengine wenye sera za tofauti, ndivyo gurudumu la maendeleo ya nchi linavyokwenda.

Ninaamini failure yetu, as Africa, in its entirity, ni a combination of factors,colonialism ikiwemo, lakini pa kuanzia, ni kuondoa viongozi hawa walioshindwa kazi.Hiyo ndo first step.

Na wao kama ni puppets, wakishindwa kazi tunatimua.Hadi tupate wenye vision ya Taifa na kujuwa nafasi zao na dhamana waliyokabidhiwa na wananchi, yani to work for the national interests and nothing else.
 


Eric,

Wenzetu wanafanya sana utafiti. Na katika utafiti unagundua vitu ambavyo kwa upeo wako wa kawaida huwezi kuviona. Kwa upande wa Tanzania naona bado utafiti unafanyika hili kukidhi kile viongozi walivyonavyo vichwani, lakini sio kutoa hoja za kueleza viability wa vile wanavyofikiria.

Mipango mingi ya serikali, inajirudiarudia wakati inakuwa na matokeo yenye kukatisha tamaa. Sijuhi kwanini hawataki kubadilika?

Kuhusiana na sekta ya elimu, watanzania ni stake-holders (wadau). Imefika wakati tuseme mtoto ni lazima aende shule na apewe mafundisho ya kuelimika. Na hakuna sababu ya kujenga shule ya msingi au sekondari ambazo hazitimizi objectives of stakeholders.

Hii sekta imefanyiwa majaribio mengi toka uhuru, lakini hatupati kitu chochote cha maana. Na umefika wakati tu-demand results.
 

For academic purpose, we have the rights to claim that our problems are a combination of multiple sources. However, if we need to find a practical solution, we should find one dominant factor to deal with and ignore the rest.

As it stands, leadership is leading the field. The country doesn’t have leaders who know what they should do at any given time. In some areas we don’t have technocratic, and when we do for known or obscure reasons they don’t apply their expertise efficiently.
 
Mkuu wangu usiseme ndivyo navyoita dira isipokuwa ndicho tunachokikosa.labda nikuulize tena - What is the our (people) best interest as citizens?. Tulipopigania Uhuru tulitaka tuwe Taifa gani maana soveign bila Azimio utaweza vipi kuipima serikali yako ambayo unataka ikupe guarantee kulingana na interest za wananchi. We all trying very hard to think of better life ,instead of making real life better.

Kutofanana kwa Azimio la Arusha na declaration of Indepence hakuondoi maana ya ulipotoka na unataka kwenda wapi..jambo ambalo linakurahishia hata utunzi wa katiba na nadhani katiba yetu ya mwaka 1977 ilitokana na Azimio la Arusha, tulipinga Ubwanyeye, Ukabaila, Unyonyaji, kujilimbikiza mali, nakadhalika yote yakityokana na historia ya utawala uliopita kwa sababu sisi ni maskini.

Leo tunapoandika katiba mpya pasipo msukumo wa Azimio letu isipokuwa hiyo vision 2025 ambayo haina haramu isipokuwa tufanye nini ikiwa gari letu limekwama. Kwa maana nyingine Azimio ama dira mara zote ni safari yenyewe kutuondoa hapa tulipo na tunakwenda wapi, hayo ya usafiri gani utatumiwa ni maswala ya kisiasa (Political Parties), Haya gari limekwama safarini tufanye nini?- Vision 2025.. haya yote ni baada ya.. Hivyo Vision 2025 inatueleza tu tulipokwama na ili kuondoka ktk shimo hili tufanye kadhaa wa kadhaa ikifika 2015 tutakuwa tumetoka shimoni - hakuna haramu wala tahadhari kujiepusha na Ukoloni iwe mamboleo ama ule wa kukoloniwa kupitia mikopo au unyonyaji na kadhalika. Kwa wananchi kukosa mwongozo ndio maana mikataba mibovu inawekwa na watu wanatazama maisha yao kwa sababu hakuna haramu, mtawasema viongozi weee lakini trust me kama nchi haina mwongozo wala haramu isipokuwa zile za Umoja wa Mataifa, haitajulikana tunataka nini.

Hapo nyuma umemweleza vizuri Azimio Jipya na nilidhani umenielewa kwa majibu yale. Lakini naona bado kabisa inakupa taabu ku connect haswa pale panaponigusa miye. Hawa viongozi wetu ni reflection yetu na sintomlaumu JK wala Mkapa nanhata atakayekuja unless awe Dikteta yaani yeye mwenyewe awe na Azimio lake na kuli force kwetu kama alivyofaya Nyerere. lakini Watanmzania ni wanafiki kwa hulka, hatuaminiani na hata ukimwachia mfanyakazi wako mali zako atakuibia ama hata kukuzika iwwe ndugu au rafiki haijalishi kwa sababu adui ya umaskini wetu ni Umaskini wenyewe..Tutarudi nyuma kulaumu Ukoloni na kadhalika lakini kama tutashindwa kujitazama sisi wenyewe ktk kioo na kujijua nafsi zetu zimejaa tamaa ya kidunia zaidi ya kulinda Principal, ethics, moral value zetu sii rahisi tukawa na common goals maana hakuna haramu.

Ni sawa na kuwa na watoto ambao kutokana na umaskini wameamua kufanya Umalaya na usione haramu kitendo hicho isipokuwa haramun ipo katika matumizi ya fedha zilizopatikana. Hawa viongozi wetu tunawalaumu kwa mipango na matumizi mabaya ya fedha haramu aidha kuuza unga au kuuza mwili (uchumi wetu unavyotegemea). Hapa ndipo naposema tumekosa Dira mkuu wangu...Hivi kweli hatuwezi kutoka ktk umaskini bila kujiuza kama malaya, isipokuwa tunatazama kwa nini fedha zetu (haramu) zinanunua viatu na mabegi ya Louis Vutton kwa viongozi.
 
For academic purpose, we have the rights to claim that our problems are a combination of multiple sources.
Mkuu thats "Off the wall", what do you mean "for academic purposes"?

Kwani si bado tunafanya shughuli na wakoloni wetu?Si ndo wanao call the shots on the other side?Mkandara amegusia hilo kwenye bandiko lake, issues kama hiyo misaada na mikopo yenye negative strings.

Kama ni a combination of factors that are "intertwined", the there is something to learn of off, rather than just for "academic purposes"

Sasa kumbe ndo maana tuna wasomi lakini utilization ya elimu ni zero.
 


Kwikwikwi
Your obsession with Azimio la Arusha doesn’t die. Does it? Americans declared their independence because the British didn’t want to give them independence, and after a period of fruitless discussions Americans decided to take a revolutionary route to achieve their objectives. In simple words, the declaration of independence was used to justify the use of force and other military actions to gain freedom. As such it was laden with persuasive devices.

On the other hand, we fought our freedom through political negotiations which precipitated various political and social reforms before the independence such as legislative council, chief minister position, constitution, and other things. So to suggest that we didn’t have anything before Azimio la Arusha is preposterous.

We had hope and we got back our African ways of life. That was great and marvelous. But our dear leaders had something else in their minds. They wanted a utopian society and socialist state. Unfortunately you call it DIRA. It didn’t work, and now you want to sanitize it as a national vision. I don’t buy that.

If you want a new Azimio that will define the core values of the country, and become a blue print for social, political and economic development, that’s fine with me. But don’t ram it down people’s throats. It won’t work because we have our values even if there aren’t documented and laminated in pieces of paper.

Now concerning the ongoing constitutional reforms, if we get a constitution that protects individual rights and also guarantees check and balance, I believe we will do just fine and be able to move the country forward without a vision engraved on gold plates.
 

JMushi,

You are cherry picking. Aren't you? I have also said that the leading cause of our problems is leadership. if you solve that, the rest are commentories. I might be dead wrong, but that's what I see it.

With regard to our former colonial masters, yes they still call shots because we have allowed them to do so. Besides nobody call you stupid without your permission.

In 1963, China was poorer than Somalia in terms of per capital. However, today China leads IMF and World Bank combined in providing financial loans to developing countries.
 
Zakumi, lengo langu ni kuhakikisha kuwa tuko ukurasa mmoja, kwamba they're intertwined issues, and that our problem is "a combination of factors".

Ulichosema ni sawa na ambavyo tulishawahi kukubaliana kwenye mijadala mingi.

Tulipoteana pale uliposema sisi wengine tuna "dwell on colonial issues", na kwamba ni just for "academic purposes"

So "cherry pucking" haikuanzia kwangu, nadhani ni more of a "chain reaction"lol!
 

Jmushi,

lol. For some of us who went to school back in the days, colonization was a big and dominant issue. But now when I look back I feel that in some instances our leaders overstretched the issue to cover up their leadership deficiencies and failures. I didn’t know about it because I was young, naïve, brainwashed and ill-informed school boy.

Today I know that leadership can be qualified and quantified through various performance measurements. However, what surprise me here is we still sing old revolutionary songs, and crave for leaders who shout their manifestos and declarations from the mountaintops.

Please, I am not taking a swipe at anybody. I just state a fact. Kwikwikwi.​
 
Mark where I highlighted... Zakumi you have just mentioned political changes (independence) from a colonial rule a systematic factors. To my knowledge social changes are driven by the WILL to achieve something beyond gaining independence, a force driven for paradigmatic change in the socio-economic structure. Now tell me, what social revolution were made apart from gaining independence!.Do U real believe we got back our African ways of life!... and which one was that? - Watemi and Chiefs, Ujamaa or was it the fact that we had legislative council, chief minister position and Constitution a copy and paste system from Europeans. Uhuru was nothing other than a systematic factor after Ghana and other west African countries gained theirs... Nothing else!

Bro, Americans stated clearly why they wanted Independence, and for the same reason they wrote declaration, they fought for independence because British colonial didin't want to comply with their demand as listed on declaration and that's what matters to them - LIBERTY, and they have kept their promise, while WE the kabuntas have thrown everthing we have worked for. How can we exercise freedom and rights if we lack contested moral and political principles....common now bro..
 

Yes Sir, I have marked where you have highlighted in my last response. Now to answer your question, apart from the WILL, as you mention above, social changes are driven by agents of changes. The array of agents includes government policies, locations, good climates, social norms, conflicts, determination and will, or pure luck.

Since independence we have made some social and economic changes, even though there aren’t to your liking. For example, in 60s there were fewer than 5 cities in the whole of Africa that recorded population above 1 Milion. But now we have many, DSM included. In addition, tribal social norms have taken the back seat, and new national identities have emerged across various African nations. So to say that we haven’t experience any social changes is to be in denial.

Economically, we have struggled, and the major reason for that is we underestimated the power of free enterprise. The British didn’t make any efforts to empower indigenous free enterprise, so does the Azimio la Arusha.
 
Jmushi,
Please, I am not taking a swipe at anybody. I just state a fact. Kwikwikwi.​
Zakumi,
Kama tunakubaliana kuwa ni a combo of factors, then we have "facts"

Usiwe na wasi wasi kabisa kuhusu "taking a swipe"

Kama umenisoma vyema, basi unafahamu kuwa kuna/nina msimamo ninaousimamia.
 


Bado nipo kwenye umhimu wa local knowledge na kushirikiswa kwa wananchi katika maamuzi yanayowaadhiri. Ugonjwa wa mnyauko bacteria unaoshambulia migomba sehemu mbali mbali wilayani karagwe unaonekana kuwa tishio kwa wakulima wa zao hilo wilayani humo. Ugonjwa huu unaonekana kumaliza kabisa mashamba ya migomba kwa baadhi ya familia ambapo familia hizo zinaishi kwa kuemea kama vile maisha ya mjini.

Miongoni mwa chakula ambacho familia nyingi zinakitumia ni pamoja chakula kitokanacho na nafaka mihogo viazi na mboga za majani jambo ambalo familia hizo hazijawahi kuonja maisha ya namna hiyo tangu kuwepo duniani.

Basi katika kikao cha bunge kulichopita kuna mbunge nafikiri alikuwa wa Karagwe alimwuliza swali waziri wa kilimo kutaka kujua serikali ina gani mpango kukabiliana na bacteria hao ambao wanaangamiza migomba jimboni kwake. Waziri alijibu kuwa serikali inawashauri wakulima waoteshe migomba mipya aina ya chotara ili kukabiliana na hao bacteria. Pia akawashauri wakulima wakuzie aina fulani ya dawa.

Lakini mbunge huyo alikuja juu na kudai wananchi wanataka kuendelea kupanda migomba asilia na siyo hiyo ya chotara. Pia akadai dawa aliyopendekeza waziri inauzwa sh 6000 na wananchi hawataweza ku-afford. Mbunge akaendelea kudai haelewi ni kwa nini serikali inawashauri wakulima kupanda migomba chotara badala ya ile ya asili wakati serikali ya Uganda kwa kushirikiana na wakulima wake wamefanikiwa kupambana na hao bacteria na hivyo kuendelea kupanda migomba asilia.

Hapo tuu inaonyesha serikali haizingatii indigenous knowledge katika kupambana na hao bacteria. Instead, serikali imekuja na blanket solution kuwataka wakulima waachane na migomba yao asilia na kupanda migomba chotara. Kwa ni serikali kwa kushirikiana na wakulima wangetumia knowledge local knowledge iliyotumiwa na Uganda ku-address hili tatizo? Wananchi hawashirikishwi kikamilifu katika kutatua hili tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…