Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,311
- 37,077
Haina shida ngoja tukutane Tena hapa jukwaani saa moja unusuumimi siiamini Simba, wanaweza wakaingia first half, kipindi cha pili wasirudi uwanjani. nina mashaka sana
Haina shida ngoja tukutane Tena hapa jukwaani saa moja unusuumimi siiamini Simba, wanaweza wakaingia first half, kipindi cha pili wasirudi uwanjani. nina mashaka sana
One love brother tupo pamoja Sana ndugu yangu ngoja nimwite rafiki yangu huyu wa faida min -me na yeye aseme neno.Nitafurahi kukuona kaka ,nishakuwa mwenyeji sasa nitakupitisha viunga vyote vya kijiji cha mbeya na pia nitakuonesha na fursa kedekede
🤓🤓Picha muhimu sanaaPanda hapa juu Level 8 Hyatt Regency tuangalie game kishefa
Haaahaa 😆 ☺️ huko mbeya ndio wanakunywaga ulanziChimbo la ulabu bwashee?
Tunakunywaga kistaarabu unajua haya Maisha Kuna muda tunayatazama kwa jicho pevu with alcohol.Madaktari mna gida pombe hatari 😆
Kabisa ni muhimu mnoTunakunywaga kistaarabu unajua haya Maisha Kuna muda tunayatazama kwa jicho pevu with alcohol.
Mkuu Leo hujaanza kuburidisha moyo.Kabisa ni muhimu mno
Nilikua shule kidogo mkuu, ndio kwanza najizoa zoa hapa , nikiwashe.Mkuu Leo hujaanza kuburidisha moyo.
Unaongeza ELIMU eee hongeraa Sanaa brother.Nilikua shule kidogo mkuu, ndio kwanza najizoa zoa hapa , nikiwashe.
Nabadili fani mkuu🤔Unaongeza ELIMU eee hongeraa Sanaa brother.
anapenda misifa huyu jamaaa-Unaongeza ELIMU eee hongeraa Sanaa brother.
Kaza mkuu kwenye graduation 🎓 naomba mualiko in advance tutaongea zaidii Ila naomba mwaliko siku ya graduation yako.Nabadili fani mkuu🤔
Karibu sana mkuu mwakani namalizaKaza mkuu kwenye graduation 🎓 naomba mualiko in advance tutaongea zaidii Ila naomba mwaliko siku ya graduation yako.
ELIMU ni muhimu Sana Sanaa 😊 keep it up..
Wewe new member tulia otherwise njoo na account yako ya zamani.anapenda misifa huyu jamaaa-
Hongera sanaa kaza kazaaKaribu sana mkuu mwakani namaliza