Posta hapa mpira unaoneshwa wapi

Posta hapa mpira unaoneshwa wapi

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
120
Reaction score
226
Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
 
Karibu na mbo ya ndani huku kama unatokea posta mpya.
Kuna hapo jamaa wanapiga passports n vistationaries India kwa ndani kuna restaurant hapo nafikiri majengo ya posta. Soka utaliona mubashara pametulia hakuna ngendembwe.
Japo hujasema upo posta ipi???
 
mkuu nipo hapa sabodo Car packing. ukitokea kisutu kuelekea kivukoni, ni mtaa wa nne from kisutu kama unaenda JiJi. kuna msikiti mkuuubwa sana tu wenye rangi ya Gold
 
Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
Tiffany hotel hapo makunganya na pia kwenye migahawa
 
Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
Angalia kwenye simu yako.
 
Na iwe hivyo kaka .
Wacha tuendelee kuomba .
Msalimie kaka min -me mwambie niko fit sasa ila mje mbeya niwaoneshe chimbo jipya la Homera
Nangojea muda si mrefu nimwite min -me Tuanze kupiga / kunywa mvinyo kistaarabu.

Karibu sanaa brother pia ntatafuta time nije mbeya japo ndio itakua Mara ya kwanza kuja huko nyanda za juuuu
 
Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby.
na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking.
naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni.
kama kuna mtu anajua naomba anisaidie
Mkuu angalia kwenye simu yako janja, au njoo hapa Kwetu pazuri bar mjini Moshi tuko live ni mwendo wa nyama choma na Serengeti lager.
 
Nangojea muda si mrefu nimwite min -me Tuanze kupiga / kunywa mvinyo kistaarabu.

Karibu sanaa brother pia ntatafuta time nije mbeya japo ndio itakua Mara ya kwanza kuja huko nyanda za juuuu
Nitafurahi kukuona kaka ,nishakuwa mwenyeji sasa nitakupitisha viunga vyote vya kijiji cha mbeya na pia nitakuonesha na fursa kedekede
 
Back
Top Bottom