ubongo ya nicky
Member
- May 27, 2015
- 89
- 9
jamani msiwe na wasiwasi post zenu nitazitoa muda wowote tangu sasa by utawala.
[Jina lako linaendana na ulichoongea]:
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Tatizo Maandaliz Mkuu,weza Pelekwa Mbali Tena Porini
sasa maandalizi unafanya wew au mzazi
wazazi ndo wanawaza sana jinsi ya kutuandaa sisi kwenda kidato cha tano
dogo maandalizi ya shule ndo hayohayo tu uliyoandaliwa ukiwa o level mabadilko n kidogo sana so usiwe na waswas sana kama umetimiza vigezo utaenda tu
Jmn post bado tu watoe ili watu tujipange mapema
Naomba source ya taarifa yako
Kwan Source Huioni Hapo Juu?