seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
Serikali yetu imekuwa kiziwi kwa sababu haisikilizi malalamiko yetu
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Serikali yetu imekuwa kiziwi kwa sababu haisikilizi malalamiko yetu
Mkuu, Tatizo Siasa Imeingia Had Kwenye Elimu Taking Into Consideration Ni Mwaka Wa Uchaguzi Xo Kila M2 Anatumia Kigezo Cha Elimu Akidhan Ndio Njia Ya Kusinda Uchaguzi Kumbe Sio
Kumbe humu ndani wapo hawa watu. dah JF imeshakuwa nyavu. Mungu bariki Jf.
kwa hili jambo,serikali yetu ilaumiwe na siyo serikali ya kuipa madaraka tena kwa kushindma kufanikisha mambo madogo madogo kama haya
Hahahhahhaa..yaanii kwakweli..sio mchezo
Wenzenu Wa mwaka Jana post zilitoka mwez Wa 6 mwishoni , sasa sijui mnalalamika nini ? Mumemaliza kusoma tuition au mnalilia post huku mnakesha kwenye social media ?
Msije kwenda uko shuleni mlikochaguliwa mkaishia kupata DDD
mkuu,ni bora kukaa ukijua kwamba mimi shule yangu ni fulani
Wenzenu Wa mwaka Jana post zilitoka mwez Wa 6 mwishoni , sasa sijui mnalalamika nini ? Mumemaliza kusoma tuition au mnalilia post huku mnakesha kwenye social media ?
Msije kwenda uko shuleni mlikochaguliwa mkaishia kupata DDD
kusoma tuition bila kuelewa direction wap unaenda km ni advance o chuo nalo ni tatizo ndo maana watu wako na pressure xana kutaka kufahamu kuhusu hizo post
Kudadadeki hivi hii bora serikali mpka leo watoto wa wakata mkaa hatujaenda shule watoto wa wenyew wanarudi likizo ya kwanza advance jamen hii serikali hii hapana aisee kama vipi watuachishe shule kudadadeki yuangalie ustaarabu maan wengine ooohh zimetoka mara hazijatoka
Huu ujinga
Pamoko mkuuMwaka wetu post zilitoka trh 28/3 na kuripoti skul ilkua trh 14/4, only two wks b4 kwa hyo vumilia tu
kusoma tuition bila kuelewa direction wap unaenda km ni advance o chuo nalo ni tatizo ndo maana watu wako na pressure xana kutaka kufahamu kuhusu hizo post
Wewe kama una natokeo mazuri kiujumla plus prior combination ulizochagua pressure ya nini? Tulia selection zitatoka tu na shule utaenda- Utasoma hadi uanze kuuliza tena likizo lini???
Ila kama una DDC hapo endelea na pressure yako maana hakuna namna. Kuona Adv kwa shule za serikali unatakiwa uwe na angalau CCD kwenye combinatuon husika- Jitafakari kabla hujaja kuuliza maswali yako hapa.
Umepata distinction, merit au credit !! Na kwenye fom umejaza kitu cha kwanza unaomba ukifaulu upangiwe shule ya advance ,kwanini uwe na mchecheto ?