Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
By yxtel:
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania***

hapo ni vigumu..
umefeli sana.. inaonesha ni kama PCM na PCB zinakubali ila wapo waliofaulu zaidi na GPA kubwa.
 
Nimepata habari kutoka kwa mtu wa nacte anasema post zinatoka mwezi wa 7 mwanzoni so it 'll be next week

Acha Kudanganya Umma Wewe Nacte Hawahusiani Na Post Zetu Eanaohusika Ni TAMISEMI
 
By yxtel:
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania***

Mkuu Wanaweza Kukuchukua Maana Walisema Wanaweka Vipaumbele Kwa Wasichana+masomo Ya Sayans Na Mm Naona Kama Upo Fresh!




Na Hapo Ndio Uone Umhim Wa Kusoma Kiswahil+civcs Maana Watu Muwapo Shule Huwa Mnakomaa Na Masomo Yakwenye Tahasusi Zenyu Tu Nakusahau Kama Civcs Ni Muhim Sana
 
Wana Jf Zimesalia Siku Ngapi Kufikia Tar 13/7?


Kama Wakitangaza Tujulishane Mm Naelekea Shamban Kuvuna Pamba Nadhan Nikitoka Huko Nitakuta Majibu Yapo Tayal
0757601630
 
Atakae chaguliwa kisiwani high school au the best school in kilimanjaro anitafute nasema ni best school kwan kimkoa tunachukua nafas 2 kitaifa ya 20 ukichaguliwa usilie mana tunapaita way to university 0659715646
 
Atakae chaguliwa kisiwani high school au the best school in kilimanjaro anitafute nasema ni best school kwan kimkoa tunachukua nafas 2 kitaifa ya 20 ukichaguliwa usilie mana tunapaita way to university 0659715646

Niatkutafuta Ngoja Nichukuwe Namba
 
Form four leavers 2014 hands up,
nawajulia hali jama what's up,
mkitakacho tu ni post chap chap,
ila mwenzenu ninaimba hip hop,
naikimbiza time nimalize lap,

nishanunua iphone,
kotekote natesa,
facebook linkedin,
na JF nakesha,
wasipotoa post june,
ni wao wajichelewesha,
sisi tupo vijiweni,
life tunalisongesha,
heshima tu mtaani,
sogobingo tumelirejesha.


Hahahaaaa, sio mbaya.. Huu muda wametuchelewesha... Mm na GPA yangu ya 3.0 eti niuze mkaa. Nooo ngoja nianze hip hop, nianzishe kundi

kama mpo wana harakat njoeni tuimbe nyimbo moja nimeitunga inaitwa my dear TAMISEMI

woyooooooooo Kigoma stand up!
#strike_for_selection
 
Form four leavers 2014 hands up,
nawajulia hali jama what's up,
mkitakacho tu ni post chap chap,
ila mwenzenu ninaimba hip hop,
naikimbiza time nimalize lap,

nishanunua iphone,
kotekote natesa,
facebook linkedin,
na JF nakesha,
wasipotoa post june,
ni wao wajichelewesha,
sisi tupo vijiweni,
life tunalisongesha,
heshima tu mtaani,
sogobingo tumelirejesha.


Hahahaaaa, sio mbaya.. Huu muda wametuchelewesha... Mm na GPA yangu ya 3.0 eti niuze mkaa. Nooo ngoja nianze hip hop, nianzishe kundi

kama mpo wana harakat njoeni tuimbe nyimbo moja nimeitunga inaitwa my dear TAMISEMI

woyooooooooo Kigoma stand up!
#strike_for_selection

utoto mwengine ....
 
duuuu! 29 june till we ar waiting for post! it is a government buttarity juu yetu.they consider most themselves. yaan bungen baada ya kuongelea mambo ya kujenga taifa,kutafakal adha wazipatazo wananch ktk maaeneo yao.wanaanza kudskas mambo ya kifamilia ya SUGU kwan wazaz wao hawapo? time for changes has come.
 
let us die young or let us live forever. we dont have power but we never say never.sitting on sandtip,life is a short trip,music for the sadman! tufanye yote but tumkumbuke muumba wetu.alotupatia uwezo mbao never look the same with others.MAKE UR FATHER AND MOTHER PROUD OF YOU only ushauli wang for today.tamisem wadahil wasidahil ila form five 2015_2016 ndio sis
 
let us die young or let us live forever. we dont have power but we never say never.sitting on sandtip,life is a short trip,music for the sadman! tufanye yote but tumkumbuke muumba wetu.alotupatia uwezo mbao never look the same with others.MAKE UR FATHER AND MOTHER PROUD OF YOU only ushauli wang for today.tamisemi wadahil wasidahil ila form five 2015_2016 ndio sis

Hapo kwenye red nimepapenda
 
Tupo subiria dogo tatizo una haraka sana ofisi zina taratibu zake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom