Florine Florian
Member
- Jun 27, 2015
- 11
- 4
Florine Florian naomba uni pm kuna kitu nataka kukuambia
Nambie mkuu
Florine Florian naomba uni pm kuna kitu nataka kukuambia
Unasema lin Florine?
bona sas n kutupiana manen tu? ka huna cha kuchangia tulia tu af we jamaa padson bol tu uwe pedson,achen kupost uchuro
MALUMBANO YASIYOKUWA NA TIJA HAYAFAI...
yote sawa tu...
zitoke zisitoke poa tu...
nipangiwe nisipangiwe shule niliyojaza kwenye sel-fomu fresh tu...
yote kwa yote subira ndio mpango tu...
Hazina ya peo za kufikiri akilini mwangu ndio silaha yangu tu....
THE LAST POST ON ETP.JF ONE LOVE WAKUU.
aya kaza msur kuleta uchuro we mr padson
Kasema walikuwa wamepanga kati ya j3 na j5 uo ndo uhakika siyo kama mikwala yenu ya kila siku
Tulieni mzigo unakuja ulikuwa unasubiri baraka kutoka kwa watu wa necta baada ya tamisemi kumaliza selection. Na hautakuwa kwenye PDF kama mlivyozoea. Wametengeneza system ambayo utakuwa unasearch selected students according to centre. Baraza la mitihani wakiyabariki kesho mapema yatakuwa hewani kwenye website ya pmoralg and necta
Mkuu unantisha kwa uo uzi maana umeeka misistizo yote

mkuu,hii inaitwa nyembe,humkati mtu hapa