nickhubert
Senior Member
- Jun 17, 2015
- 113
- 25
Humu mmezid uongo
Aaah ni kwl au unanirusha roho mie mtoto wa bi Miriam?wajomba poxt zenu mshazipata, click here ua name nakutafutia xaxa hvi
wajomba poxt zenu mshazipata, click here ua name nakutafutia xaxa hvi
Proved.. kesho znatoka..
source tamisemi
Proved.. kesho znatoka..
source tamisemi
Nimeamua kuingia humu ndani ili nitoe majibu ya maswali yenu.
kuhusiana na selection za kidato cha tano mwaka huu ni kweli zimechelewa ila hii inatokana na utaratibu mpya wa utoaji wa post hizo. ila nina penda kuwahakikishia ya kuwa mbaka tar 3 ya mwezi ujao selection zitakuwa zimesha tangazwa kwani walianza na kutoa majina ya wanafunzi kwa ajili ya usaili wa jeshi la polisi na ndio watoe post zenu.